Inahitajika google play console haraka sana offa ya milioni 2 ipo mezani.

Jay_255

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2014
Posts
743
Reaction score
1,305
Natafuta mtu anayemiliki app iliyopo playstore ili aniuzie google console yake kwa milioni 2 (2,000,000).πŸ’²πŸ’²

Ikiwa utaniunganisha na mmiliki wa console na akaweza kuniuzia nitakupatia laki 1 (100,000) πŸ€‘πŸ€‘πŸ€‘
β˜ŽοΈπŸ‘‰ 0711707070

Sifa za account
1.Iwe na zaidi ya mwaka tokea isajiliwe

2.Iwe na app playstore ambayo ipo live mpka sasa.

kama unayo tuwasiliane sasa 0711707070
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…