financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
Kampuni gan unataka?Hello wakuu,
Inahitajika TV ya kununua bei ndogo inavyowezekana, kuanzia inch 32 na kuendelea, used or mpya bajeti ni 200,000 hadi 300,000/=
ikipatikana hadi kufikia kesho ntashukuru sana.👏
Yoyote tu iliyopo mkuuKampuni gan unataka?
Location wapiHello wakuu,
Inahitajika TV ya kununua bei ndogo inavyowezekana, kuanzia inch 32 na kuendelea, used or mpya bajeti ni 200,000 hadi 300,000/=
ikipatikana hadi kufikia kesho ntashukuru sana.
Anhaa uko wapi?Yoyote tu iliyopo mkuu
Oh ni Dar es salaam mkuu, ngoja niedit hapo juuLocation wapi
Dar mkuuAnhaa uko wapi?
Unaguna nini Kinde?, niuzie hiyo TV yako
Kama ni DSM, hilo limeisha, watakuja!!Oh ni Dar es salaam mkuu, ngoja niedit hapo juu
Ni ndogo sanaUnaguna nini Kinde?, niuzie hiyo TV yako
Kariakoo 250 unapataDar mkuu
Ok japo nilitaka kushare na wadau humu, kupeana fursa ila ni sawa👏Nenda kariakoo au duka lolote unaloona wanauza tv huwezo kosa kwa pesa uliyonayo.
Mitandaoni utaiziwa famba bure.
Mm fursa hii naitaka nikupeleke chimboniOk japo nilitaka kushare na wadau humu, kupeana fursa ila ni sawa👏
Nenda jukwaa la matangazo pale kuna wadau kibao wa hizo mbanga za electronics, uzuri wameweka bei, namba na locations walipo.Ok japo nilitaka kushare na wadau humu, kupeana fursa ila ni sawa👏