Ukiweza jipinde uingie shop.. Kwa bei ya 3k unapata mpya mzuri tuu.. Hizo used ni kamariHello wakuu,
Inahitajika TV ya kununua bei ndogo inavyowezekana, kuanzia inch 32 na kuendelea, used or mpya bajeti ni 200,000 hadi 300,000/=
Location: Dar es salaam
ikipatikana hadi kufikia kesho ntashukuru sana.👏
Kuna 50k mfuko wa shatiHabari, Mimi nina hii Bufa nauza. Ni mpya. Tangu niitoe dukani Ina wiki mbili tu. Ipo na Kila kitu chake. Bei ni 90,000 kwakuwa Nina shida. Ahsante. Simu 0676558714
Hisence smart 32” 280kOk japo nilitaka kushare na wadau humu, kupeana fursa ila ni sawa👏
Nimeshapata dukani, ahsanteni woteMkuu hizo mbona nfio bei zake, haina haja ya kuomba hapa, ingia duka lolote, tv za kichina ni 200k, mpaka 230k humo humo unabeba mzigo.
Asante kwa kushea fursa...Wauza TViiiiiiiiiiiii...mkujeeeeeeeeHello wakuu,
Inahitajika TV ya kununua bei ndogo inavyowezekana, kuanzia inch 32 na kuendelea, used or mpya bajeti ni 200,000 hadi 300,000/=
Location: Dar es salaam
ikipatikana hadi kufikia kesho ntashukuru sana.👏
Nimeshapata tayari mkuu, imebidi niende dukani, it was urgently needed.Asante kwa kushea fursa...Wauza TViiiiiiiiiiiii...mkujeeeeeeee
Kwa rank hiyo ya Pesa chukua mpya kabisa ya Size ulotaka
Hongera mdadaNimeshapata wakuu, thank you