Uzi unazungumzia Man U wewe unaleta Mambo ya utopolo..Naomba tulimalize hili la Yanga kuipiga simba kwa mara ya pili mfululizo kwanza!
Siku mkikutana na Man City mvua ya magoli itahusika hapo😁Mzuka wanajamvi!
Hadi Sasa hivi navyoandika huu Uzi Mani ishachlapwa 4-0 na vibonde Brentford na ni dakika ya 87 Tatizo Nini? Inasikitisha Sana na wachezaji wao wanalipwa mishahara mikubwa Sana.
Poleni Sana mashariki wa Mani.
Inasikitisha Sana!
Siku zote Man u na Yanga zikicheza Siku moja lazima mmoja atanitia huzuni.
hamia Arsenal