Inajulikana mwisho wa Simba huwa ni robo fainali. Je, Yanga mnawaona wakifika wapi?

Horoya fan

Member
Joined
Mar 13, 2023
Posts
79
Reaction score
253
Wakuu kwema? Kama kichwa kinavyojieleza hapo, ni kuwa, kila mtu anajua mwisho wa Simba kimataifa ni Robo Fainali. Hata wenyewe wana Simba ukiwauliza huwa wanasema wao mafanikio yao huwa ni kufika Robo Fainali kimataifa.

Je, wananchi Yanga nyie vipi, mnaiona timu yenu ikifika hatua ipi? Je, na nyie mtaridhika hapo Robo Fainali kama hawa Simba au mnatoboa kwenda mbele zaidi?

Komenti ziwe fupifupi.
 
We Chawa wa HOROYA umewasindikiza wenzako na tayari umehamia kwa wala mihogo, vyura [emoji196][emoji196]
 
Tunaomna Simba na Yanga zifike fainal
Semea yanga ndio mwenye uthubutu wa kufika iyo fainali, lakini unapowaweka na simba utakuwa unawaonea, Angalia kwanza vikosi vya timu zote mbili, aina ya wachezaji walionao, angalia benchi la ufundi la timu zote mbili, na kisha angalia mpira unaochezwa na timu zote mbili utapata jibu ni timu gani inayoweza kwenda mbele zaidi
 
Mbna hao wachezaji walishindwa kuwabakisha CL na Al Hilal aka wafurushaaaaa, CL sio makalio kwamba kila team inashiriki.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mbna hao wachezaji walishindwa kuwabakisha CL na Al Hilal aka wafurushaaaaa, CL sio makalio kwamba kila team inashiriki.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huko CL una kombe lolote!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…