Horoya fan
Member
- Mar 13, 2023
- 79
- 253
Wakuu kwema? Kama kichwa kinavyojieleza hapo, ni kuwa, kila mtu anajua mwisho wa Simba kimataifa ni Robo Fainali. Hata wenyewe wana Simba ukiwauliza huwa wanasema wao mafanikio yao huwa ni kufika Robo Fainali kimataifa.
Je, wananchi Yanga nyie vipi, mnaiona timu yenu ikifika hatua ipi? Je, na nyie mtaridhika hapo Robo Fainali kama hawa Simba au mnatoboa kwenda mbele zaidi?
Komenti ziwe fupifupi.
Je, wananchi Yanga nyie vipi, mnaiona timu yenu ikifika hatua ipi? Je, na nyie mtaridhika hapo Robo Fainali kama hawa Simba au mnatoboa kwenda mbele zaidi?
Komenti ziwe fupifupi.