Inakata sana kuona watu wanapata wapenzi commited sisi wengine tunahaso

Sea Beast

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2022
Posts
2,212
Reaction score
4,808
Inakata sana ukiona wengine wana make move kwenye mahusiano wewe uelewi Mshkaji wangu Mama Amina mara ya tatu hii katika nystatin tofauti namuomba Details za wanawake tofauti nipate mmoja wakuwa committed nae majibu ni "Mke wa mtu" "Mke wa fulani" "Kaolewa"

Wenzetu wanapata wapi wanawake waliokuwa committed kwao sisi wengine tuhaso hadi Leo. Nikiangalia niliyekuwnae ambae nimemchagua kwa utulivu wake hayuko committed kabisa na mimi, hajari, wala haoni haja ya kunipa priority zaidi ya ku-experience upuuzi tu kwake.

At some point sipendi kufanya uzinzi nipate mmoja nioe wakuoa inalizimika kuendelea na uzinzi tu at that point ambapo sio plan yako....unayemueleza tufanye dini inavyotaka anakuwa kama kiziwi.
 
shirikisha watu wako wa karibu kifamilia na ndugu, unaweza kufanikiwa kupata kilicho chema kwako. cha msingi tu uwe ready sio vegezo vya misambadwa nk
 
Tatizo mnataka high profile ladies, just imagine mtu kama Mahondaw Lamomy Nyamwi255 sasa unategemea nini? Mwishowe uambiwe hela ya kusuka million uone unanyanyapaliwa bure πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Tafuta wa levo yako mpambane.... Achana na ming'ao
Mwehh! Mie wa low profile mkuu sinaga makuu hata

Cc Smart911
 
Tatizo mnataka high profile ladies, just imagine mtu kama Mahondaw Lamomy Nyamwi255 sasa unategemea nini? Mwishowe uambiwe hela ya kusuka million uone unanyanyapaliwa bure πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Tafuta wa levo yako mpambane.... Achana na ming'ao
Dah! Naingia tu nakutana na mention yako ya kwanza afu umeniua.. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mi nasuka twende kilioni za jero tu.!
 
1.Kama una mwamini Mungu, jua kwamba mke hatafutwi, mnakutanishwa tu. Acha kuwekeza nguvu kwenye kutafuta, wekeza kwenye kufanya maisha, utakae kutana nae kwenye safari yako ndo atakufaa zaidi.

2.Mahusiano ya watu ni fumbo kubwa, Binafsi najua mke wangu anamezewa mate sana hapa mtaani, na mahusiano yetu yanachukuliwa kama mfano🀣🀣 Lakini humo ndani kuna muda unatamani hata wasiojulikana wampoteze. Japo muda mwingine pia mahaba kama yote.

Mwisho. Kumwelewa na kukubaliana na mwenzako + mapungufu yake, mtaishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…