Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Acha visingizio vya ki-simp, fanyia kazi unachoambiwa.Hizi principle ni nzuri ila kiuharisia kuwa applicable kwa ground ni tofauti kabisa wengi wanaandika kama Content tu.
Mahusiano yapo very Disruptive
🤣🤣🤣 Lijanja kweli, reply zake zingine sisomagi nalipotezea..Hapo anaiomba kijanja ili uwe unamquote anakusoma ndo kashakupenda hivyo mtoto wa mamkwe, ila asikuharibie usichana wako mdogo wangu😅😅😅
Wacha we!Hamna Kuna mijimama kibao huku mtaani inataka wa kufika nao mwisho wa reli
Wacha we!Hamna Kuna mijimama kibao huku mtaani inataka wa kufika nao mwisho wa reli
Fisi maji lipotezee tu😅😅😅😅🤣🤣🤣 Lijanja kweli, reply zake zingine sisomagi nalipotezea..
Ataniharibia usichana wangu huyu fisi
Mwenye kusikia na asikieTatizo vijana mkiwa mnatafuta mke vigezo vyenu ni sura na msambwanda, hapo utaambulia maumivu ya moyo tu.
Waifu material wapo kibao
Familia nyie miyeyusho 😂Wacha we!
Kumbe unatusumbua familia wakati unawakimbia mwenyewe!
Tumegundua wewe ndio miyeyusho pro max😄Familia nyie miyeyusho 😂
Nimerudi rasmi kwenye misimamo yangu sioi, natafuta Watoto kadhaa basTumegundua wewe ndio miyeyusho pro max😄
Mungu pekee ndiye anayeweza kukupa mke, huyo mshikaji wako hataweza..... keep praying.Inakata sana ukiona wengine wana make move kwenye mahusiano wewe uelewi Mshkaji wangu Mama Amina mara ya tatu hii katika nystatin tofauti namuomba Details za wanawake tofauti nipate mmoja wakuwa committed nae majibu ni "Mke wa mtu" "Mke wa fulani" "Kaolewa"
Wenzetu wanapata wapi wanawake waliokuwa committed kwao sisi wengine tuhaso hadi Leo. Nikiangalia niliyekuwnae ambae nimemchagua kwa utulivu wake hayuko committed kabisa na mimi, hajari, wala haoni haja ya kunipa priority zaidi ya ku-experience upuuzi tu kwake.
At some point sipendi kufanya uzinzi nipate mmoja nioe wakuoa inalizimika kuendelea na uzinzi tu at that point ambapo sio plan yako....unayemueleza tufanye dini inavyotaka anakuwa kama kiziwi.
Hii kweli hasara.Nimerudi rasmi kwenye misimamo yangu sioi, natafuta Watoto kadhaa bas
Kikubwa watoto waishi vzrHii kweli hasara.
Aaaah watoto wa hivyo hatuwataki. Hatukukulea hivyo, huu mvurugo nani kakuvuruga!!Kikubwa watoto waishi vzr
Wiki nzima naskiliza nyimbo tatu tuAaaah watoto wa hivyo hatuwataki. Hatukukulea hivyo, huu mvurugo nani kakuvuruga!!
Nani huyo kakunyoosha🤣🤣Wiki nzima naskiliza nyimbo tatu tu
Harmonize ft Darasa wimbo
Wimbo; Mazoea
Harmonize
wimbo; You better go
Harmonize
Wimbo; Ujana
Mapenzi yasiponiua 😂bas ntafia shambani niwe Mkulima ikishindikana tafia Congo mission
Napoelekea ntafunga nadhiri ya kutokupenda 😂😂😂 sijawahi Baki salama nikitia tu pua napata mnyooshoNani huyo kakunyoosha🤣🤣