Inakatisha tamaa kulipa kodi katika nchi yetu, mafisadi hawana cha kuogopa

Inakatisha tamaa kulipa kodi katika nchi yetu, mafisadi hawana cha kuogopa

Hu
Kosa kubwa ni kukubali kuongozwa na form four failure
u ni ujinga kuhusu kisa form failure ndiyo maana nchi unapigwa hata hao wenyewe elimu kubwa si wamewahi kuwa maRais je nchi iliachwa kuliwa? Kwa elimu gani hii ya makaratasi? Ishu sio elimu ishu wananchi hawajitambui uzalendo hakuna
 
Bentley continental na Bentley Bentyega pale Michezo si mchezo
 
Deni la Taifa ni Trillion 110

Taasisi nyingi wametumbua pesa bila aibu

1. ATCL wamekula pesa, hasara zaidi ya billion 90
ATCL hii haiendeshwi kiuweledi
Kutwa kusafirisha machawa na kubeba bure Yanga na Simba kwanini isipate hasara

2. TRC wamekula mabilion ya fedha

Hii relief inapataje hasara abiria wapo hadi inazidiwa ila Bado kwenye wateja hivi TRC unaleta hasara

3. Ufisadi uwanja wa Arusha
Yaani bajeti billion 151 ila ati imetumika billion 350+

Ukiona Bashite ananuna magari ya gharama kubwa ndo hizo pesa.

Msigwa Yuko site anashusha mahotel ndiyo hivo

4. Jeshi la Zima moto nao hawajazubaa wamejitwalia mapesa

5. Tanesco wamejitwalia mabilion

6. TRA wamejitwalia mapesa

7 Halmashauri wamejilia zaidi ya billion 12

8 Bwawa la Nyerere hasara trillion 1.48

9. TAMESA wamefanya malipo hewa billion 5
Hawa watu wa vivuko wakaona wajiibie tu

10 TRA hawajakusanya billion 7.25
Kwa uzembe

Hizi pesa zingenunua madawati mangapi? View attachment 3564768View attachment 3564769View attachment 3564770View attachment 3564771View attachment 3564772
Umesoma lakini hiyo kauli ya kiongozi wenu? Hapo ku a akili mgichwa kweli?
 
Hu
u ni ujinga kuhusu kisa form failure ndiyo maana nchi unapigwa hata hao wenyewe elimu kubwa si wamewahi kuwa maRais je nchi iliachwa kuliwa? Kwa elimu gani hii ya makaratasi? Ishu sio elimu ishu wananchi hawajitambui uzalendo hakuna
na wewe ni mmojawapo
 
Unaweza kuwehuka na rais anasema watajwe ili waone aibu na sio kuwajibishwa hapana ni waone aibu.

Sijui wanatuchukulia je sisi wananchi kabisa
 
Binafsi huwa naamini serikali inafanya biashara na wananchi na sio kuwasaidia,ukitaka kuamini hili elekea ofisi za umma kupata huduma kila kitu ni fedha hata vile tu vinavyoonekana ni vidogo bado utatozwa gharama.Sasa ebu imagine suala la kupata affidavit nalo mpaka kulipa pesa.

Hapo sijaongelea huduma nyingine kama afya,hii serikali ni jipu na hii yote imeletwa na watu wachache kumiliki uchumi wa nchi,wameshiba wakajisahau
 
Deni la Taifa ni Trillion 110

Taasisi nyingi wametumbua pesa bila aibu

1. ATCL wamekula pesa, hasara zaidi ya billion 90
ATCL hii haiendeshwi kiuweledi
Kutwa kusafirisha machawa na kubeba bure Yanga na Simba kwanini isipate hasara

2. TRC wamekula mabilion ya fedha

Hii reli inapataje hasara abiria wapo hadi inazidiwa ila Bado kwenye wateja hivi TRC unaleta hasara

3. Ufisadi uwanja wa Arusha
Yaani bajeti billion 151 ila ati imetumika billion 350+

Ukiona Bashite ananuna magari ya gharama kubwa ndo hizo pesa.

Msigwa Yuko site anashusha mahotel ndiyo hivo

4. Jeshi la Zima moto nao hawajazubaa wamejitwalia mapesa

5. Tanesco wamejitwalia mabilion

6. TRA wamejitwalia mapesa

7 Halmashauri wamejilia zaidi ya billion 12

8 Bwawa la Nyerere hasara trillion 1.48

9. TAMESA wamefanya malipo hewa billion 5
Hawa watu wa vivuko wakaona wajiibie tu

10 TRA hawajakusanya billion 7.25
Kwa uzembe

Hizi pesa zingenunua madawati mangapi?

View attachment 3564768View attachment 3564769View attachment 3564770View attachment 3564771View attachment 3564772

Kweli hakuna kitu kibaya kama kukosea namna ya kupata watu imara wa kusimamia boma
 
Mama kashasema wasichukuliwe hatua yeyote

Watajwe tu basi ili waone aibu

Hiyo ndio kauli ya mama yetu kipenzi ambaye watu walimuani na wakampia kura akashinda kwa kishindo

Majina oyeeeee!!
 
Lakini Mama hajawahi sema kuwa atadeal na mafisadi,yaweza kuwa tunampa lawama ambazo siyo kipaumbele chake.

Mtu akiitwa atoe ushahidi ni wapi alisema atashughulika na mafisadi utasema ni lini?

Vipaumbele vyake mimi sivijui ningevitaja.
 
Kodi hizo hizo ndio wanatumia kulipa kunguni,chawa, vidampa, vizabinazabina kama ChoiceVariable Lucas Mwashambwa The Sunk Cost Fallacy The Sunk Cost Fallacy 2 instinct desire

Kuja kutetea ufisadi, utekaji, mauaji , wizi wa kura na wanaishia kupewa mikweche kama huu kama usafiri.
images (68).jpeg
 
Back
Top Bottom