Inakatisha tamaa kulipa kodi katika nchi yetu, mafisadi hawana cha kuogopa

Inakatisha tamaa kulipa kodi katika nchi yetu, mafisadi hawana cha kuogopa

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
16,871
Reaction score
39,881
Deni la Taifa ni Trillion 110

Taasisi nyingi wametumbua pesa bila aibu

1. ATCL wamekula pesa, hasara zaidi ya billion 90
ATCL hii haiendeshwi kiuweledi
Kutwa kusafirisha machawa na kubeba bure Yanga na Simba kwanini isipate hasara

2. TRC wamekula mabilion ya fedha

Hii reli inapataje hasara abiria wapo hadi inazidiwa ila Bado kwenye wateja hivi TRC unaleta hasara

3. Ufisadi uwanja wa Arusha
Yaani bajeti billion 151 ila ati imetumika billion 350+

Ukiona Bashite ananuna magari ya gharama kubwa ndo hizo pesa.

Msigwa Yuko site anashusha mahotel ndiyo hivo

4. Jeshi la Zima moto nao hawajazubaa wamejitwalia mapesa

5. Tanesco wamejitwalia mabilion

6. TRA wamejitwalia mapesa

7 Halmashauri wamejilia zaidi ya billion 12

8 Bwawa la Nyerere hasara trillion 1.48

9. TAMESA wamefanya malipo hewa billion 5
Hawa watu wa vivuko wakaona wajiibie tu

10 TRA hawajakusanya billion 7.25
Kwa uzembe

Hizi pesa zingenunua madawati mangapi?

1774893585957.jpg
Screenshot_20260330-205457.png
Screenshot_20260330-205337.png
Screenshot_20260330-204913.png
Screenshot_20260330-194340.png
 
Yote haya ni kwakuwa hakuna anayewajibishwa kwa Sasa watu wanajipigia Wala hawaogopi ,utendaji kwenye taasisi za umma ni mbovu sana kutoka ngazi ya juu hadi chini
 
Back
Top Bottom