Inakatisha tamaa kulipa kodi katika nchi yetu, mafisadi hawana cha kuogopa

Hu
Kosa kubwa ni kukubali kuongozwa na form four failure
u ni ujinga kuhusu kisa form failure ndiyo maana nchi unapigwa hata hao wenyewe elimu kubwa si wamewahi kuwa maRais je nchi iliachwa kuliwa? Kwa elimu gani hii ya makaratasi? Ishu sio elimu ishu wananchi hawajitambui uzalendo hakuna
 
Bentley continental na Bentley Bentyega pale Michezo si mchezo
 
Umesoma lakini hiyo kauli ya kiongozi wenu? Hapo ku a akili mgichwa kweli?
 
Hu
u ni ujinga kuhusu kisa form failure ndiyo maana nchi unapigwa hata hao wenyewe elimu kubwa si wamewahi kuwa maRais je nchi iliachwa kuliwa? Kwa elimu gani hii ya makaratasi? Ishu sio elimu ishu wananchi hawajitambui uzalendo hakuna
na wewe ni mmojawapo
 
Unaweza kuwehuka na rais anasema watajwe ili waone aibu na sio kuwajibishwa hapana ni waone aibu.

Sijui wanatuchukulia je sisi wananchi kabisa
 
Binafsi huwa naamini serikali inafanya biashara na wananchi na sio kuwasaidia,ukitaka kuamini hili elekea ofisi za umma kupata huduma kila kitu ni fedha hata vile tu vinavyoonekana ni vidogo bado utatozwa gharama.Sasa ebu imagine suala la kupata affidavit nalo mpaka kulipa pesa.

Hapo sijaongelea huduma nyingine kama afya,hii serikali ni jipu na hii yote imeletwa na watu wachache kumiliki uchumi wa nchi,wameshiba wakajisahau
 
Kweli hakuna kitu kibaya kama kukosea namna ya kupata watu imara wa kusimamia boma
 
Mama kashasema wasichukuliwe hatua yeyote

Watajwe tu basi ili waone aibu

Hiyo ndio kauli ya mama yetu kipenzi ambaye watu walimuani na wakampia kura akashinda kwa kishindo

Majina oyeeeee!!
 
Lakini Mama hajawahi sema kuwa atadeal na mafisadi,yaweza kuwa tunampa lawama ambazo siyo kipaumbele chake.

Mtu akiitwa atoe ushahidi ni wapi alisema atashughulika na mafisadi utasema ni lini?

Vipaumbele vyake mimi sivijui ningevitaja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…