uwezo na kujielewa ndio kunampa mtu kazi... je ulitaka wampe Chid benz, Ray C, au Mr Nice.. unampa mtu kazi pale anapojua anajielewa ili aweze kuipaisha brand yako..Imenifika hapa....
Naona makampuni mengi Sana apa bongo yanampaparukia msanii mmoja tu kuwa brand ambassador hivi wasanii wengne hakuna amekuwa ni domo tu kila tangazo inakera sana hii inaleta matabaka Kati ya wasanii au kuna figisu figisu jamaa anatumia ili kubania wasanii wenzake
Ifike kipindi makampuni yatazame na wasanii wengne....coz kuna wasanii wakali na wenye fan base kubwa kuzidi ata uyo domo kwa mfano king kiba ndo msanii mwenye fan base kubwa apa bongo Ina maana makampuni hayamuoni au figisufigisu....
Imenifika hapa....
Naona makampuni mengi Sana apa bongo yanampaparukia msanii mmoja tu kuwa brand ambassador hivi wasanii wengne hakuna amekuwa ni domo tu kila tangazo inakera sana hii inaleta matabaka Kati ya wasanii au kuna figisu figisu jamaa anatumia ili kubania wasanii wenzake
Ifike kipindi makampuni yatazame na wasanii wengne....coz kuna wasanii wakali na wenye fan base kubwa kuzidi ata uyo domo kwa mfano king kiba ndo msanii mwenye fan base kubwa apa bongo Ina maana makampuni hayamuoni au figisufigisu....[/QUOT
Hawa watu wako kwenye biashara Zaidi siyo mambo ya demokrasia. Sasa kama kwa mtumia Diamond kama ndiyo wanachuma Zaidi na wanaona profit hawawezi kumtumia msanii mwingine. Kama vile ilivyo kwa akina Michael Jordan na Lebron James.
Muongobtu yuleReality tv show yake tayari kuna makamuni 2 yameshamwaga mamilioni kudhamini muda si mrefu itazinduliwa anazidi kujitunishia mfuko wake hawa wengine mtaendelea kuwasifia kwamba ni wakali kushinda yeye lakini kiuhalisia amewaacha mbali sana hata bei ya show hakuna msanii bongo anafika dau la diamond kupanda stegini
Siku nyingine uwe unaenda direct to the point......... kwa mfano king kiba ndo msanii mwenye fan base kubwa apa bongo Ina maana makampuni hayamuoni au figisufigisu....
Ina maana msanii anayejielewa ni diamond tu?uwezo na kujielewa ndio kunampa mtu kazi... je ulitaka wampe chid benz, ray c, au m.r nice.. unampa mtu kazi pale anapojua anajielewa ili aweze kuipaisha brand yako..
Ha ha ha kiba analinda tembo kwa manati, hiyo kazi inamtosha
HIHIHIHIH SASA KAMA UNA JICHO MOJA NDO UNATOBOLEWA NA LILILOBAKI SIO?Mwenye nacho ataongezewa.
ndio hili halina ubishi(labda uwe virus kichwani) diamond ni msanii anayejielewa zaidi ya wote.. pia anafaa kibiashara zaidi because ana fans wengi mpaka abroad.. so brand yako ukimtumia itafika mbali sana tofauti na hao MBULULA wengineIna maana msanii anayejielewa ni diamond tu?