Watu bwana,juhudi za mtu wote tunaziona.Anavyojituma na kuwekeza awe brand imara wote tunaona.Leo akianza kupata feedback unaona anafanya figisu?!
Makampuni makubwa hayana uswahili,pale lengo ni biashara.Hawako tayar kumfurahisha mtu au kikundi fulani cha watu,wao muhimu kwao ni kutangaza bidhaa yao na effectiveness ya Tangazo kwa hadhira.
Wakati this Kid ameamua kuwa na mameneja watatu wengi waliona haina haja,leo haja imeonekana watu mnaita figisu.
"Hard work pays" ndo msemo mzuri kufungia maelezo yangu