Inakera kuona msanii mmoja tu ndo anapaparukiwa na makampuni

Inakera kuona msanii mmoja tu ndo anapaparukiwa na makampuni

Status
Not open for further replies.
Kwa vitu kama hivi ndio unapoiona tofauti ya DIAMOND na wasanii wengine,yeye ni BRAND pamoja na familia yake.
 
Imenifika hapa....

Naona makampuni mengi Sana apa bongo yanampaparukia msanii mmoja tu kuwa brand ambassador hivi wasanii wengne hakuna amekuwa ni domo tu kila tangazo inakera sana hii inaleta matabaka Kati ya wasanii au kuna figisu figisu jamaa anatumia ili kubania wasanii wenzake

Ifike kipindi makampuni yatazame na wasanii wengne....coz kuna wasanii wakali na wenye fan base kubwa kuzidi ata uyo domo kwa mfano king kiba ndo msanii mwenye fan base kubwa apa bongo Ina maana makampuni hayamuoni au figisufigisu....
Tatizo wengine maneno mengi.... NA BADO... UTAKERWA HADI UFE
 
Watu bwana,juhudi za mtu wote tunaziona.Anavyojituma na kuwekeza awe brand imara wote tunaona.Leo akianza kupata feedback unaona anafanya figisu?!
Makampuni makubwa hayana uswahili,pale lengo ni biashara.Hawako tayar kumfurahisha mtu au kikundi fulani cha watu,wao muhimu kwao ni kutangaza bidhaa yao na effectiveness ya Tangazo kwa hadhira.
Wakati this Kid ameamua kuwa na mameneja watatu wengi waliona haina haja,leo haja imeonekana watu mnaita figisu.

"Hard work pays" ndo msemo mzuri kufungia maelezo yangu
Mr Nice alishawahi sema kutokuwa na meneja kumemshusha sana
 
Kwa hiyo wanaochukia maendeleo ya kiba ndo wamejificha kwa domo
Kiba hana cha kumchukiza mtu... Lakini diamond kakuchukiza wewe tena eti kwa vile makampuni yanamfuata.... Ni ujinga uliopitiliza..!!! Mchukie mtu kama hana faida hata kwake mwenyewe....
 
anaishi kwa mama yake...ongeza na hilo
Kiba hatakagi show off za kina domo mara cjui Nina nyumba ngpi mara nina nyuma SA yy mambo yake kimy kimy....hana ulimbukeni wa maisha
 
Kiba hatakagi show off za kina domo mara cjui Nina nyumba ngpi mara nina nyuma SA yy mambo yake kimy kimy....hana ulimbukeni wa maisha
Ambassador hana nyumba bana yeye ni kama ray mzee wa maji, anaishi kwa mama yake
Tuzo za kili kaweka kwenye kabati la nguo la mama, imebidi maza apunguze nguo nyingine atundike ukutani kupisha tuzo
 
Ambassador hana nyumba bana yeye ni kama ray mzee wa maji, anaishi kwa mama yake
Tuzo za kili kaweka kwenye kabati la nguo la mama, imebidi maza apunguze nguo nyingine atundike ukutani kupisha tuzo
Duuuu hii si kawaida
 
Ambassador hana nyumba bana yeye ni kama ray mzee wa maji, anaishi kwa mama yake
Tuzo za kili kaweka kwenye kabati la nguo la mama, imebidi maza apunguze nguo nyingine atundike ukutani kupisha tuzo
Umeuwaaa.... hivi vitoto havinaga hoja.. wao matusi ndiyo hoja
 
kwa sababu Diamond hana gharama...anapenda SIFA bila malipo yupo radhi hata afanye tangazo bure ili kuwakomoa wenzie
 
Leo lao ni kuona biashara zao zinakwenda vzr na sio kuweka usawa kwa wasanii. Kila msanii anatakiwa afanye kazi kwa bidii ili aweze kutazamwa na kupata hizo fursa!
 
kwa sababu Diamond hana gharama...anapenda SIFA bila malipo yupo radhi hata afanye tangazo bure ili kuwakomoa wenzie
We utakuwa unaota diamond kala voda zaidi ya mil 600, dstv zaidi ya mil 150, tangazo la cocacola onja msisimko zaidi ya mil 60 alafu unasema anafanya bure? Kajipange upya
 
kwa sababu Diamond hana gharama...anapenda SIFA bila malipo yupo radhi hata afanye tangazo bure ili kuwakomoa wenzie
Kama anafwnya bure mnalalwma nini..??
Kwa akili yako, maisha anayoishi Diamomd yanafanana na kufanya show bure..? MAELEZO MENGINE MNAJIAIBISHA TU
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom