1. Vp mmechoka kuzomea ??? ( mlidhani atafanikiwa kwa kumzomea DIAMOND mkasahau bila ya juhudi zake ni kazi bure)
2.Vp utatu mtakatifu hausaidii kitu ( joketi,wema,kiba. kila akipanda jukwaani lazima awaonyeshe au kama kuna onyesho atasema na wema na joketi watakuwepo ) ???
3.Vp sauti haimuwezeshi kupata dili ???
4.vp uKING ameshindwa kuutumia ???
Ila pole yake mnamuita star aliyezidiwa hata na VANESSA MDEE na Idriss kwa kuwa verified kwenye account zao za insta.
Pole yake kwa kuwa na mashabiki wanafki wasiomuwezesha kwa lolote zaidi ya kuwa wajuzi wa matusi.