Inakera kuona msanii mmoja tu ndo anapaparukiwa na makampuni

Inakera kuona msanii mmoja tu ndo anapaparukiwa na makampuni

Status
Not open for further replies.
Sijamsimanga mtu yoyote......ndiyo maana ya mada ni kujadiliwa...........ila nyie mnafanya ushabiki......mie sina team hata moja.
Ushabiki vp wakati wanaotoa hizo issue za brand ambassador sio sisi?! Yaani unataka kusema makampuni makubwa kama Vodacom, Airtel, Coca-Cola n.k wote hao wako poor in business strategies? Hivi ulisikia wapi kampuni ya kibiashara inaendeleza kipaji cha mtu ili imtumie kwenye matangazo? Why should you incur unnecessary costs arising outside your line of business?
 
Imenifika hapa....

Naona makampuni mengi Sana apa bongo yanampaparukia msanii mmoja tu kuwa brand ambassador. Hivi wasanii wengne hakuna amekuwa ni Diamond tu kila tangazo inakera sana hii inaleta matabaka Kati ya wasanii au kuna figisu figisu jamaa anatumia ili kubania wasanii wenzake.

Ifike kipindi makampuni yatazame na wasanii wengne....coz kuna wasanii wakali na wenye fan base kubwa kuzidi hata huyo Diamond, kwa mfano King Kiba ndio msanii mwenye fan base kubwa hapa bongo. Ina maana makampuni hayamuoni au figisufigisu....

Fungua nyuma ya pazia uone mijicho ipi inachungulia. Yawezekana yeye anapata only 10 percent. Muulize baba Riz kama anafahamu kinachoendelea hapo maana mhu ndo alimweka barabarani na njiani na vichochoroni na mapipani na mipakani na mh nimesahau mengine. naota tu sasa hivi usiku nimelala ila addiction ya JF naandika nimelala. Nisamehe kama nimeandika ugoro ila naota tu.
 
Duh..Kweli Nimeamini,Unapoianza Safari,Watakutia Moyo,Unapoonesha Mafanikio,Wanainua Vikwazo,Siyo Wote Wafurahiao Mafanikio Yako

Go Diamond...go baby,

NavyKenzo Wamekuwa Airtel Ambassadors, Hamjaona
*Lady Jay Dee Balozi wa Oriflame Hamkuona
*Alikiba Wildaid Ambassador Hamkuona
*MwanaFa Samsung Ambassador Hamkuona
*Vanessa Mdee Samsung Galaxy J Ambassador Hamkuona...#Don Hate The Player,Hate The Game...Dai akiwa Brand Ambassador Anawatendea Haki Hata waliompa Tender,Hawa Wengine Wanachukulia Poa,Unadhani Next Time Watapewa Tena?You should Know How To Brand Yourself My Dear Kiba(Mtoa Mada
Dai ni nyoko! Utakavyojua Chibu ni nyoko mwangalie anavyotangaza kazi zake... hakuna hata anayemkaribia jinsi alivyo aggressive... kwa mbali sana anamfuatia Nay wa Mitego ambae nae anatumia technique za Diamond!

Chibu nimeona caption ya tangazo la Tomato Sauce! Yaani ilivyosifiwa hiyo tomato hadi mtu unajiuliza tomato sauce hii ni hii tunayolia viepe hadi Uswahilini au ni special!
 
E bhana, tuache masihara! Hivi lile tangazo ni la kitambo; au? Binafsi nimelisikia leo... yaani zile flavor sikuamini!
Tamu sana lkn pale ile melody mwishoni ajatunga yy maana lile la kingereza melody yke inafanana na la diamond kwaio kateleza tu" ila kaipatia sanaaaaa
 
Tamu sana lkn pale ile melody mwishoni ajatunga yy maana lile la kingereza melody yke inafanana na la diamond kwaio kateleza tu" ila kaipatia sanaaaaa
There you're... nakumbuka kuisikia hiyo English version... na wakati leo nasikia ya Swahili; nikawa kama sielewi elewi hivi! Anyway, thanks kwa kunikumbusha!
 
Ukitaka kujua madudu ya Domo tizama sura ya Mama yake tu, yule Mama anaruka na sahani usiku, si Muha yule. Wewe jiulize, Domo ana muziki gani wa kuwazidi vijana kama Barnaba, Amini, kina Aslay na wengineo? Ndiyo maana watu wanasema chini chini kuwa Domo anamezeshwa kizizi na Mamaye.
Teh teh! Kwa staili hii ukiendelea kuwa masikini usishangae wala usijiulize maswali.

Btn ni diamond pekee ndiye amezaliwa na mama muha? (Jibu if and only if umeelewa swali)
 
Muhimu hapa ni wasanii wengine kujifunza hapa diamond ajajua jua jinsi ya kujibrand na ana network kubwa mtandaoni tayari ni balozi wa Vodacom, CocaCola, DSTV, na Redgold tomato ni mtu anaejotuma habweteki na sifa za mashabiki , mfano dili la mtoto wake Tiffa kuwa balozi wa NMB ni yeye na Zari waliandika proposal na kuipresent NMB na wakakubaliwa sasa mtu kama huyu uyasema ni figisu? Kijana hajasoma lakini yupo vizuri kwenye biashara
na huu ndio ukweli(kwa sauti ya kikwete)
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom