Dada una point hadi raha.Wewe naona wala huelewi. I just told you, Vodacom and the other companies have no business kumnyanyua msanii mwingine. It is not their job, unaelewa? They want to do business with msanii ambaye yuko kibusiness na ana hadhi ya kubeba brand yao. Hao wengine it is up to them to work hard and get to that level. Sawa? Kama hujaelewa hapa basi pita kimya usinijibu.
Usisahau na anatumia pesa ili wengine watoboe...HARMONIZE,RAYMOND,BABY TIFFAH na WCB CREW.Usisahau kuwa domo anatumia adi hera ili kubania wasanii wenzake ukiwa nje ya kitu huwez jua yaliyomo ndani rejea post ya kiba ya kipindi kile ndo utagundua nn kinaendelea....watu wanadiriki kutoa adi pesa ili wenzao wasitoboe
hapa tunaongelea ubora wa kazi mambo ya ushabiki wako na mzee yusufu ni hulka zako binafsi..hata hawa wasanii wala unga wana mashabiki(fans)umejibu kishabiki wengine ss ni wapenz wa mzee yusuph
tehe tehe wwewe nanani ? mnaoongeleahapa tunaongelea ubora wa kazi mambo ya ushabiki wako na mzee yusufu ni hulka zako binafsi..hata hawa wasanii wala unga wana mashabiki(fans)
endelea kurusha vidole juu.. wasalim na vijana wenzako wanaopigwa bunduki kwenye makalio coz wameegemea sana huo mziki maa ninatehe tehe wwewe nanani ? mnaoongelea
utajiju
tehetehe teheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeendelea kurusha vidole juu.. wasalim na vijana wenzako wanaopigwa bunduki kwenye makalio coz wameegemea sana huo mziki maa nina
Kama hujui unazomewa kweli1. Vp mmechoka kuzomea ??? ( mlidhani atafanikiwa kwa kumzomea DIAMOND mkasahau bila ya juhudi zake ni kazi bure)
2.Vp utatu mtakatifu hausaidii kitu ( joketi,wema,kiba. kila akipanda jukwaani lazima awaonyeshe au kama kuna onyesho atasema na wema na joketi watakuwepo ) ???
3.Vp sauti haimuwezeshi kupata dili ???
4.vp uKING ameshindwa kuutumia ???
Ila pole yake mnamuita star aliyezidiwa hata na VANESSA MDEE na Idriss kwa kuwa verified kwenye account zao za insta.
Pole yake kwa kuwa na mashabiki wanafki wasiomuwezesha kwa lolote zaidi ya kuwa wajuzi wa matusi.
Mwe ata mm"nampigiaga na zari mama latifa kipenzi changu...."
Hii sehemu huwa inanikosha sana utadhani nimeimbiwa mie
Ndo hivyo tena hakuna namnaImenifika hapa....
Naona makampuni mengi Sana apa bongo yanampaparukia msanii mmoja tu kuwa brand ambassador. Hivi wasanii wengne hakuna amekuwa ni Diamond tu kila tangazo inakera sana hii inaleta matabaka Kati ya wasanii au kuna figisu figisu jamaa anatumia ili kubania wasanii wenzake.
Ifike kipindi makampuni yatazame na wasanii wengne....coz kuna wasanii wakali na wenye fan base kubwa kuzidi hata huyo Diamond, kwa mfano King Kiba ndio msanii mwenye fan base kubwa hapa bongo. Ina maana makampuni hayamuoni au figisufigisu....
Haya bwana team Kiba!Imenifika hapa....
Naona makampuni mengi Sana apa bongo yanampaparukia msanii mmoja tu kuwa brand ambassador. Hivi wasanii wengne hakuna amekuwa ni Diamond tu kila tangazo inakera sana hii inaleta matabaka Kati ya wasanii au kuna figisu figisu jamaa anatumia ili kubania wasanii wenzake.
Ifike kipindi makampuni yatazame na wasanii wengne....coz kuna wasanii wakali na wenye fan base kubwa kuzidi hata huyo Diamond, kwa mfano King Kiba ndio msanii mwenye fan base kubwa hapa bongo. Ina maana makampuni hayamuoni au figisufigisu....
Mh!fix hizo...umezidisha kiasi banaDiamond kapiga 1.2 bilion tangazo la coka ,La voda kapiga 1 bil,jamaa anakojolea mbali aisee,okay sjui kama kalipia kodi hizo fedha.Kiba aendelee kufundisha madrasa
Mwenye nacho ataongezewa.