sister
JF-Expert Member
- Nov 23, 2011
- 9,014
- 6,847
My dear kuna watu wanasaidiwa kufika mahali gulani na wengine wanajisaidia wenyewe kufika mahali fulani.. . .. ..na ukumbuke muda mwingine unamsaidia mtu na kumjenga...... Na hata hapo diamond alipofika si kwa juhudi zake peke..... Inawezrkana kuna wengi wamemsaidia kwa namna moja au nyingine.Sister uwezo alionao diamond kajengewa na nani???
Au vodacom wamemjengea?
Tuache hizo lazma ufike mahali fulani tuwe multipurpose.