Inakera na kuchukiza kwamba wqtu wengu wanatumia smatphone halafu ni infinix,itel na Tecno

Kama pombe huziwezi kunywa soft drinks
 
Wewe unatumia nn mkuu unaonyesha ni mtu wa kujikweza na dharau za kutosha....m2 anaweza akatumia hiyo techno na maisha yake humkutii hata chembe.....ubishoo wa kipumbavu unabeba apple na mfukoni huna hata mia.....
 
Siwezi kushangaa kuna thread ulileta kwa I'd nyingine kuwa umeruhusiwa kutoka mirembe hospital ulikuwa unasumbuliwa na magonjwa ya akili ,ila Moderator wakafanya yao wakaunganisha I'd zako zote
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐ŸคฃKumbe ni yule milembe guy?hata ID hii Kuna siku nyingine ni mwanaume siku nyingine mwanamke
 
kinachokukeresha ni nini, we mbona mpumbavu hivyo? maskini akipata kidogo ni shida, we ni ushamba na umaskini wa ukoo wako ndiyo vinakusumbua
 
Huu nao ni msongo wa mawazo๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿค”

Hiv huyu atajinyonga sio mda!!
 
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐ŸคฃKumbe ni yule milembe guy?hata ID hii Kuna siku nyingine ni mwanaume siku nyingine mwanamke
๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒNdiyo uyo uyo akaleta uzi kuwa ameibiwa mil 5 za halmashauri pale magufuli bus stand
 
Nilianza kufuatilia mambo yangu kipindi nina miaka mitano.
 
Mbongo akishakuwa na sim kali
Kamaliza teh teh
Yuko radhi alale chini ilimradi awe na sim kali...
Dada zetu na kuna midume iko tayari kuingiliwa,ilimradi wawe na sim kali

Ova
 
Watu wanatofautiana viwango vya mapato mkuu
 
Unaishushia hadhi na heshima hii jamii forum yetu! Pumbavu sana wewe. Mambo yako ya kitoto peleka Facebook.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ