Inakera sana kupishana na kijana wa kiume ananukia kama mwanamke

Inakera sana kupishana na kijana wa kiume ananukia kama mwanamke

data

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2011
Posts
26,858
Reaction score
23,768
Mnisamehe tu leo...

Suala la mwanaume kunukia kama mtoto wa kike linakera sana. Hii inatokana na kujipulizia mapafyumu. Mungu aliumba harufu za asili za kike na kiume tubaki na hizo.

tumblr_inline_nbye7gQTrj1qznaa6.jpg


Lets get back to naturality. Girls and Boys get smart.
 
Mbaya zaidi anaingia kwenye hiace au sehemu ya mkusanyiko wa watu wengi anaharibu hali ya hewa kabisa.....wengine unakuta ni washamba hata tofauti ya marashi ya MADEMU, MAITI na WANAUME hajui matokeo yake anajitundika yale ya MAITI yanoyonukia sana akidhani ndio amekomeshea sasa inakuwa ni kero kwa wasiopenda marashi kwani huwatesa wengine na si yeye aliyejipaka
 
Cc Nyani Ngabooo!!!!
fuatilia mada zake akisifia uturi
 
Et unakuta msela kbs ananukia perfume ya chibu AF kavaa na elen
 
Huyu jamaa atakuwa hana hela ya manukato.kwahiyo anataka atuaminishe wanaume wote kuwa kujinukisha ni vibaya
Sabuni yangu ya mwisho kutumia ilikua ni Rungu...

Walipoanza ivha
Cc Nyani Ngabooo!!!!
fuatilia mada zake akisifia uturi
Msukuma mshamba huyoo...
 
Hangover za weekend sometimes tabu tupu...

Nahic anataka kufananisha watu girls and boys like beberu jike na dume..

Hivi na jike huwa linaharufu kweli [emoji2][emoji2][emoji2][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Sawa mkuu
 
Back
Top Bottom