Inakoelekea huyu mwanamke anataka kunigeuza Roboti la kufanyia mapenzi

Muda wake wa kubeba mimba umefika kazana mwamba...........mwezi wa nne hivi kitaeleweka πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
Ha ha ha......aisee Kuzaa na mwanamke msumbufu wa hivi Ni janga la kujutia karne nzima
 
mwaka 2020 kipindi cha corona, nilikuwa na mwanamke dizain hiyo ilibaki kidogo anichome kisu sababu niligoma kumgegegeda ameniachia kovu mkono wa kulia.
 
mwaka 2020 kipindi cha corona, nilikuwa na mwanamke dizain hiyo ilibaki kidogo anichome kisu sababu niligoma kumgegegeda ameniachia kovu mkono wa kulia.
Dah! Pole Sana mkuu
Kwaiyo Bado uko Nae au mshaachana?
 
mwaka 2020 kipindi cha corona, nilikuwa na mwanamke dizain hiyo ilibaki kidogo anichome kisu sababu niligoma kumgegegeda ameniachia kovu mkono wa kulia.
Hatari sana aisee...kisaa kumnyimaa mtiiii kapata mpaka kichaaa
 
Mama j huyu huyu au mwingine

Naomba namba mkuu nikusadie zoezi Hilo Niko likizo hvyo Muda upo wa kuchaktana
 
Tayar nshafuta [emoji4][emoji1431]
Ujue Niliweka na voice note maana kuna wabongo humu Bila hivyo wanasema story za mamaJ huwa Ni chai na hizo sms huwa najitumisha mwenyewe
Embu naaomba voice note zake nizipitie
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ila wewe, unataka kusema mwamba hashauriki sio?
hamna kitu hapo ishakuwa ugonjwaa mbona... labda huyu mwanamke aamue kumuacha jamaa ila huyu hata akikuta huyu demu anakazwa hapo kesho atakuja tu.
 
hamna kitu hapo ishakuwa ugonjwaa mbona... labda huyu mwanamke aamue kumuacha jamaa ila huyu hata akikuta huyu demu anakazwa hapo kesho atakuja tu.
Umeona eee, sie tunasubiri uzi mwingine wa muendelezo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…