Inakoelekea huyu mwanamke anataka kunigeuza Roboti la kufanyia mapenzi

Inakoelekea huyu mwanamke anataka kunigeuza Roboti la kufanyia mapenzi

Lakini nikisema nyota nguruwe jike ,umenielewa

Kwamba nguruwe jike muda wakupandwa ukifika na hakuna dume hua hapakaliki
Ha ha ha ...kwamba Yuko heat season
Chini kunachemka na kuwasha hatari[emoji4]
 
Jana jumanne niko dukani tangu saa 12 jion Anapiga Simu sn kunikumbusha MDA wa kufunga tayar mbona sitokei nyumban kwake. Nikamweleza kua ni kweli, tayr duka mbele nishafunga ila namalizia kufanya mahesabu ya stoo na vijana Kisha ndo ntakuja uko kwako.Akaanza upya kulalamika Sana.

Nikaona asije kuniharibia kunivuruga kichwa, akili iko kwny mahesabu sahv, nikakata Simu yake na kuendelea na shughuli zangu mpk nilipomaliza mida ya Saa 3 usiku. Nmemaliza nampigia simu Yake ili nimfamihishe nmemaliza shughuli zangu ndo nakuja kwake, akawa hapokei Simu zangu.

Nikajua tayari mwenzangu keshaweka kisirani, nikaona hata Kwenda kwake haina maana tena na kuamua moja kwa moja Kwenda kwangu.

Nmesha fika kwangu ananipigia simu kunitaka niende kwake usiku ule ule ili tukafanye mapenz, nikamweleza tayar nishaingia ndani siwezi kutoka Tena, MDA ule sijafika kwangu nilikupigia ili nije kwako ila hukupokea Simu yangu. Hivyo Tutaonana kesho. Akasema Kama siendi kwake usiku ule Basi nisiende daima. Nikasema "POA", akakata Simu.

Leo asbh naamka nakutana na utitiri wa sms zake za malalamiko khs ninachomfanyia jana yake. Sijamjibu nikavaa na kuondoka zangu kuelekea dukani. Nmefika nmetulia ikabd kumpigia kumjulia hali maan najua Jana kapanic Sana na kutaka kumfahamisha isiwe kesi leo jioni Safi sana, nkishafunga saa 12 jioni ntapitia kwake ili tukafanye sn mapenzi.

Anapokea simu na kuanza kuniwekea masharti kua anataka sahv saa 2 asbh hii niende kwake tukafanye mapenz. Nikamuuliza Kama Yuko serious.

Akasema ndio niko serious funga duka lako uje kwangu tufanye mapenz, vinginevyo usiniombe Tena mapenzi na tuachane kabisa na kwangu usije tena daima. Nilichomjibu "Ni POA TU"

Ila kiuhalisia siko tayar kufunga duka langu asbh ili kuja kwako kufanya mapenz, Kama huwez nisubiri mpk jioni, Basi Amua chochote unachotaka.

Akakazia Tena kua Kama siwez Kwenda kwake MDA huu, Tuachane kabisa na nifute namba zake na nisiende tena kwake daima. Nikasema "POA tu"

KWA TAFSIRI HII
TAYARI NMEACHWA WAKUU NA KIROHO SAFI NMEAMUA KUKUBALIANA NA MATOKEO[emoji26]

Nawasilisha[emoji1431]View attachment 2685508
Sanukaa amekuweka kwenye target ya umeme/ngomaa hatakii afe peke yake ,sanukaa kamanda
 
Daaa sijui nimefikaje leo huku..
Kumbe watu mnafanya mapenzi humuuuuu...
Ngoja nikaseme kwa Melo.
 
Mama J atakuja shtuka umri ushasogea sana. Shauri zake.
Ni jasiri sana miaka minne na Mme watu na Hana plans zozote maana kama alikua 28yrs Sasa hvii 32 hyoo
Ila huruma Zaidi Kwa mke Wa Deepond daahh...naumia kama Mimi vile
 
Akawa haelewi anang'ang'ania suruali na shati siondoki pale mpk tufanye angalau kdg, nmetumia Nguvu sn mpk natoka pale mfuko wa kushoto wa suruali yangu tayar ushachanika.
😅😅😅😅 Khaaaa nyie watu aseeeh
 
Anapokea simu na kuanza kuniwekea masharti kua anataka sahv saa 2 asbh hii niende kwake tukafanye mapenz. Nikamuuliza Kama Yuko serious.

Akasema ndio niko serious funga duka lako uje kwangu tufanye mapenz, vinginevyo usiniombe Tena mapenzi na tuachane kabisa na kwangu usije tena daima. Nilichomjibu "Ni POA TU"
😅😅😅 Khaaaaaaa ila nyie watu , Sema nini mkuu kuna watu wanakutana alfajiri ili wachepuke hlf baada ya hapo ndiyo wanaenda kazini..... Hivi vitu hivi- nenda kamtoe nyege , mwanamke nyege zimemjaa huyo.
 
Wee fala sana huyo unamkose ndo mana kila siku anataka ! Kamata KVant au konyagi changanya energy halafu nenda uone kama atakuita tena.Akiukuita njoo unidai buku
 
Back
Top Bottom