Inakuaje bei za mafuta kwenye soko la dunia zinashuka ila Tanzania zinazidi kupanda?

Rais anabidi kuwa makini maana ugumu wa maisha utafanya usalama wa nchi kuwa mdogo.
Yuko busy kuwaletea akina Halima Mdee na wenzake waendelee kuwa Bungeni, au umesahau Hilo Mkuu!?
 
Na watatuumiza kweli kweli maana wana hasira hao. Nashangaa wanasiasa walioko nje ya serikali nao wako kimya! SI Mbowe, Lipumba Wala Zitto. Inasikitisha kwa kweli.
Hao wameshakata tamaa mkuu.

Ni saikolojia ndogo tu ya binadamu.

Mtu akipigania kitu kwa muda mrefu atakata tamaa au ataendelea kupambana.

Ila wengi hukata tamaa. Na katika mazingira hayo inakuwa rahisi sana kurubuniwa.

Hivyo sahau kuhusiana na hao watu. Kama hakuna kizazi cha kuhoji , tuseme tu we are done.
 
Katika awamu hii ya 6 ya wapigaji na mawaziri walanguzi wanaogawa mitungi ya gesi mtaani basi mpaka kufikia 2025 Mafuta yatapanda mpaka elfu 5 kwa lita
 
Acah kumkarash huyu mleta mada na kuzungumzia ped Kama mafuta lzm seerkali ikubushwee kuwa wanachokifanya siyo sawaa
 
Wenzenu wako Barabarani huko South Africa, Ghana na Kwingineko, nyie mko bise kuandamania humu, Kwa akili hizi watapandisha zaidi na zaidi na hakuna mtakacho fanya
 
Hili la mafuta ccm watatumia Kama Kiki kisias mafuta yakishuka lzm pia watakuja kumsifu mam kwa kushusha na kuondoa tozo
 

Tatizo sio Mama Samia Wala Majaliwa Wala Mpango ,Tatizo ni Katiba na Chama Cha mapinduzi kuendelea kupendwa na wananchi wengi.

Siku wananchi wakiichukia CCM ndipo mabadiliko yatakapotokea.
Hii nchi ina rasilimali nyingi sana.
Jiulize Kwa Nini mpaka Sasa hakuna Gari la Serikali linalotumia gesi Ili kubana matumizi?
Kwa Nini wanaendelea Kununua magari ya kifahari Wakati wananchi wanaishi maisha magumu?
Kwa Nini wanaleta Watu kupora ardhi yetu badala ya kuwamikisha Vijana Wa Kitanzania Kwa vikundi na kuwapa matrekta na kujenga miundo mbinu ya Kilimo .Wageni wanunue mazao tu sio kulima.?
Jibu ni moja CCM Bado wanashangiliwa na wananchi? Bado watu wanawatukuza watesi Wa maisha yao. Hivyo wanajiona miungu Watu na kuamua yale yanayowanufaisha Wao na familia Zao MPAKA Siku watanzania wengi watakapozinduka ndipo Wahalifu Wa kimtandao watakapokimbia ofisi za umma na kuisalimisha nchi Kwa wananchi.

Laiti awamu ya Tano ingeweza kuinyosha nchi Kwa kuruhusu Demokrasia na kupata viongozi wenye utashi Wa kweli Wa kuleta maendeleo badala ya wasanii waliopita bila Hata kupiga kampeni na kupigiwa kura halali.

Zao la kura za wizi na vitisho litaitafuna hii nchi MPAKA miaka Kumi ijayo.
Kwa Sasa Viongozi wengi ndani ya CCM wanatafuta pesa za ama kushinda uchaguzi Kwa rushwa au kujenga utajiri Wa kupindukia Hata kama watakosa kura basi wawe wamejihakikishia Kuwa na Mapesa MENGI.
Ndio maana wananchi wanyonge wanalalamika Ili Hali Wala nchi wanakula bata na Kuku na asali Juu.
 
Na watatuumiza kweli kweli maana wana hasira hao. Nashangaa wanasiasa walioko nje ya serikali nao wako kimya! SI Mbowe, Lipumba Wala Zitto. Inasikitisha kwa kweli.
Inaonekana Hayati JPM alikua anawajua vizuri wanasiasa Hao mana walikua wanapiga kelele Ili waonekane na kupewa rushwa kubwa kubwa Kisha wakae kimya.
Kuna mmoja alikua anajichotea mahela kule KWENYE Shirika moja la mifuko ya Hifadhi ya Jamii Ili afunge mdomo.

Lakini Pia wapinzani nao wanatamani kuingia madarakani Ili wakambe asali na sio Vinginevyo. Tumeona Kwa akina Mdee walivyokua wanajifanya wazalendo na wapambanaji kumbe hakuna kitu wanapigania matumbo yao. Sasa kama akina dada waliokaa Bungeni wakapata umaarufu mkubwa na Mapesa MENGI wanakua na tamaa kubwa kiasi cha kudharau wapambanaji wenzao na wananchi wanyonge walioumizwa na Siasa za dhulma,basi hakuna Mwanasiasa Mzalendo anayetokea KWENYE kiyoyozi labda msituni kule Uganda na Rwanda.
 
Tusiwategemee wanasiasa waliotokea Ofisini KWENYE kiyoyozi walete mabadiliko zaidi ya kujinufaisha na familia Zao na marafiki Zao kidogo watakua wanawapa teuzi na kuanzisha taasisi nyingi Ili wapewe ulaji.

Wazalendo waliobakia Afrika ni Kagame na Museveni Pekee.
 
Bila kusahabu kuwa hao wadada wanauchungu wa kutumikishwa rushwa ya ngono ili wapate nafasi! Mbowe kafanya sana sasa chafu za kulala na hawa wamama ndo wapate nafasi ya ubunge wa viti malum pia alikuwa na upendeleo mkubwa wa kikabila huyu tapeli Mbowe!
 
Hiyo ni reflection ya viongozi wasiyo na maono kwa nchi zao wao ni kuwaza kupiga tu. Hawawezi fikilia maisha ya wananchi wake. Fikilia Bumbuli imekuwa ya mwisho kwa mapato na viongozi toka uko ndiyo role model ya viongozi wa kujikweza tulio nao. Unafikili atakuwa na uwezo wa kufikili ni jinsi gani ya kupunguza bei za mafuta. Kama hawezi kuhamasisha maendeleo na jimboni kwake kuwe na mapato mazuri na makusanyo ya kodi, kwenye issue ngumu Kama hii kwake ataweza. Amebakiza kutembelea vijiji kunadi mitungi ya taifa gas hili apate % toka Rostamu Azizi.
 

Attachments

  • VID-20220803-WA0022.mp4
    13.3 MB
Wenzenu wako Barabarani huko South Africa, Ghana na Kwingineko, nyie mko bise kuandamania humu, Kwa akili hizi watapandisha zaidi na zaidi na hakuna mtakacho fanya
Watu wataandamana Siku Vijana 85 % wakielewa na kufahamu Kuwa CCM ni chama kama vyama vingine ila wachache wanaonufaika ndani ya Serikali wanajificha Humo Ili mambo yao yaende na kujifanya Kuwa ni wazalendo.
Siku Vijana watakapogundua Kuwa utajiri na rasilimali za Hii Nchi zimewekwa na mwenyezi Mungu na sio CCM na ni Kwa ajili ya kila Mtanzania na sio Kwa ajili ya watawala na familia Zao basi wataamua kuwatoa KWENYE ofisi kuanzia kule KWENYE Serikali za mitaa na kwingineko.
Kwa Sasa Bado watu wanapenda vyama na Hasa CCM. Bado Ina watu MPAKA Vijana wanaoitwa chawa na wanaongezeka.
 
Dah! Hawa wa Mlamba asali weye una roho ngumu!!
 
Siku zote wajinga ndio waliwao. Watanzania tunapumbazwa eti kuna ruzuku imewekwa ili wasiumie sana kwenye bei ya mafuta. Kweli tumekuwa wajinga. Angalia rate of change in fuel prices hata kwa majirani zetu wa East Africa. Yaani viongozi wetu wanaamini sisi sote ni mbumbumbu wala hatufuatilii yanayoendelea ulimwenguni. Tutaliwa tutakwisha. Kwa ujinga wetu ona kitu anachofanya Januari huko mikoani. Na watu wanashangilia. Kweli jamani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…