JAYJAY
JF-Expert Member
- Oct 31, 2008
- 8,191
- 8,490
Yuko busy kuwaletea akina Halima Mdee na wenzake waendelee kuwa Bungeni, au umesahau Hilo Mkuu!?Rais anabidi kuwa makini maana ugumu wa maisha utafanya usalama wa nchi kuwa mdogo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yuko busy kuwaletea akina Halima Mdee na wenzake waendelee kuwa Bungeni, au umesahau Hilo Mkuu!?Rais anabidi kuwa makini maana ugumu wa maisha utafanya usalama wa nchi kuwa mdogo.
Hao wameshakata tamaa mkuu.Na watatuumiza kweli kweli maana wana hasira hao. Nashangaa wanasiasa walioko nje ya serikali nao wako kimya! SI Mbowe, Lipumba Wala Zitto. Inasikitisha kwa kweli.
Yaani sasa hivi ukipita huku barabarani unaokota tu hela!Mama amefungua nchi, Wananchi wanakula asali... wanajazwa fedha mifukoni.... Anaupiga mwingi... Kula kwa urefu wa kamba yako....
Sukuma gang wanakomeshwa na bei za juu za mafuta. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Acah kumkarash huyu mleta mada na kuzungumzia ped Kama mafuta lzm seerkali ikubushwee kuwa wanachokifanya siyo sawaaUsafirishaji wa mafuta sio kama PEDI mkuu, mafuta usafirishaji wake ni very technical na unachukua muda mrefu kufika sehemu husika hasa ukanda wetu huu.
Kama mafuta yameshuka soko la dunia basi effect utaanza kuiona mwezi ujao na sio huu kwani Shehena ya mwezi ujao ndio inafungwa mwezi huu.
Tumia akili yako vizuri, na acha kukurupuka kama POPOMA.
Wenzenu wako Barabarani huko South Africa, Ghana na Kwingineko, nyie mko bise kuandamania humu, Kwa akili hizi watapandisha zaidi na zaidi na hakuna mtakacho fanyaWakuu habari,
Leo tumeona bei mpya za mafuta zikipanda, na sababu tunajua tutaambiwa kuwa ni mabadiliko kwenye soko la Dunia.
Lakini trend kwenye soko la dunia inaonyesha bei za mafuta zimekuwa zikishuka miezi ya karibuni, bei zilikuwa zimefika hadi Dola 124 kwa pipa mwezi Februari lakini tangia juni bei zilikuwa zinashuka na hadi sasa ni Dola 94 Serikali inatumia kikokotoo gani?
Nimeweka hiyo chart hapo chini ambayo inaonyesha mafuta yalikuwa ghali zaidi kwenye mwezi Februari na Machi yakifika hadi Dola 124 kwa pipa.
Lakini tangu mwezi Juni yalikuwa kwenye Dola 103 na yamekuwa yakishuka na hadi kufikia hata chini ya Dola 94 siku za karibuni.
Iweje TZ yanazidi kupanda kila mwezi?
Au basi yabaki hata bei ileile angalau?
Au haya mafuta yatakayouzwa kesho kwa bei mpya ambayo ndiyo ya juu zaidi kutokea yaliagizwa lini kwa bei gani?
View attachment 2312674
Hili jibu ni la kisomi sanaKwa hiyo kupanda kwa matuta ghafi kunasababisha mafuta ya kwenye gari kupanda ila ghafi yakishuka tunaambiwa hayo sio ya kweye gari?
Bado hii nayo sio hoja. Kama Mafuta yanunuliwa Miezi miwili au mitatu iliyopita inakuwaje Bei isibakie ile ile badala yake ipande kila Mwezi? Au Kuhifadhi Mafuta nako Ni Gharama? Hii Nchi watu tunaenda kusoma ili tuwe wajinga. Unaweza kuona jinsi watu wanavyofurahi kuongozwa na huyu eti Ni Kiongozi anayetuongoza vizuri! Unaweza kuelewa tuna tatizo kubwa kiasi gani katika kutofautisha uwezo wa Viongozi.
Inaonekana Hayati JPM alikua anawajua vizuri wanasiasa Hao mana walikua wanapiga kelele Ili waonekane na kupewa rushwa kubwa kubwa Kisha wakae kimya.Na watatuumiza kweli kweli maana wana hasira hao. Nashangaa wanasiasa walioko nje ya serikali nao wako kimya! SI Mbowe, Lipumba Wala Zitto. Inasikitisha kwa kweli.
Nacheka kama vile mazuri.!Yaani sasa hivi ukipita huku barabarani unaokota tu hela!
Tusiwategemee wanasiasa waliotokea Ofisini KWENYE kiyoyozi walete mabadiliko zaidi ya kujinufaisha na familia Zao na marafiki Zao kidogo watakua wanawapa teuzi na kuanzisha taasisi nyingi Ili wapewe ulaji.Hao wameshakata tamaa mkuu.
Ni saikolojia ndogo tu ya binadamu.
Mtu akipigania kitu kwa muda mrefu atakata tamaa au ataendelea kupambana.
Ila wengi hukata tamaa. Na katika mazingira hayo inakuwa rahisi sana kurubuniwa.
Hivyo sahau kuhusiana na hao watu. Kama hakuna kizazi cha kuhoji , tuseme tu we are done.
Bila kusahabu kuwa hao wadada wanauchungu wa kutumikishwa rushwa ya ngono ili wapate nafasi! Mbowe kafanya sana sasa chafu za kulala na hawa wamama ndo wapate nafasi ya ubunge wa viti malum pia alikuwa na upendeleo mkubwa wa kikabila huyu tapeli Mbowe!Inaonekana Hayati JPM alikua anawajua vizuri wanasiasa Hao mana walikua wanapiga kelele Ili waonekane na kupewa rushwa kubwa kubwa Kisha wakae kimya.
Kuna mmoja alikua anajichotea mahela kule KWENYE Shirika moja la mifuko ya Hifadhi ya Jamii Ili afunge mdomo.
Lakini Pia wapinzani nao wanatamani kuingia madarakani Ili wakambe asali na sio Vinginevyo. Tumeona Kwa akina Mdee walivyokua wanajifanya wazalendo na wapambanaji kumbe hakuna kitu wanapigania matumbo yao. Sasa kama akina dada waliokaa Bungeni wakapata umaarufu mkubwa na Mapesa MENGI wanakua na tamaa kubwa kiasi cha kudharau wapambanaji wenzao na wananchi wanyonge walioumizwa na Siasa za dhulma,basi hakuna Mwanasiasa Mzalendo anayetokea KWENYE kiyoyozi labda msituni kule Uganda na Rwanda.
Hiyo ni reflection ya viongozi wasiyo na maono kwa nchi zao wao ni kuwaza kupiga tu. Hawawezi fikilia maisha ya wananchi wake. Fikilia Bumbuli imekuwa ya mwisho kwa mapato na viongozi toka uko ndiyo role model ya viongozi wa kujikweza tulio nao. Unafikili atakuwa na uwezo wa kufikili ni jinsi gani ya kupunguza bei za mafuta. Kama hawezi kuhamasisha maendeleo na jimboni kwake kuwe na mapato mazuri na makusanyo ya kodi, kwenye issue ngumu Kama hii kwake ataweza. Amebakiza kutembelea vijiji kunadi mitungi ya taifa gas hili apate % toka Rostamu Azizi.Wakuu habari,
Leo tumeona bei mpya za mafuta zikipanda, na sababu tunajua tutaambiwa kuwa ni mabadiliko kwenye soko la Dunia.
Lakini trend kwenye soko la dunia inaonyesha bei za mafuta zimekuwa zikishuka miezi ya karibuni, bei zilikuwa zimefika hadi Dola 124 kwa pipa mwezi Februari lakini tangia juni bei zilikuwa zinashuka na hadi sasa ni Dola 94 Serikali inatumia kikokotoo gani?
Nimeweka hiyo chart hapo chini ambayo inaonyesha mafuta yalikuwa ghali zaidi kwenye mwezi Februari na Machi yakifika hadi Dola 124 kwa pipa.
Lakini tangu mwezi Juni yalikuwa kwenye Dola 103 na yamekuwa yakishuka na hadi kufikia hata chini ya Dola 94 siku za karibuni.
Iweje TZ yanazidi kupanda kila mwezi?
Au basi yabaki hata bei ileile angalau?
Au haya mafuta yatakayouzwa kesho kwa bei mpya ambayo ndiyo ya juu zaidi kutokea yaliagizwa lini kwa bei gani?
View attachment 2312674
View attachment 2312748
Watu wataandamana Siku Vijana 85 % wakielewa na kufahamu Kuwa CCM ni chama kama vyama vingine ila wachache wanaonufaika ndani ya Serikali wanajificha Humo Ili mambo yao yaende na kujifanya Kuwa ni wazalendo.Wenzenu wako Barabarani huko South Africa, Ghana na Kwingineko, nyie mko bise kuandamania humu, Kwa akili hizi watapandisha zaidi na zaidi na hakuna mtakacho fanya
Dah! Hawa wa Mlamba asali weye una roho ngumu!!Usafirishaji wa mafuta sio kama PEDI mkuu, mafuta usafirishaji wake ni very technical na unachukua muda mrefu kufika sehemu husika hasa ukanda wetu huu.
Kama mafuta yameshuka soko la dunia basi effect utaanza kuiona mwezi ujao na sio huu kwani Shehena ya mwezi ujao ndio inafungwa mwezi huu.
Tumia akili yako vizuri, na acha kukurupuka kama POPOMA.
Siku zote wajinga ndio waliwao. Watanzania tunapumbazwa eti kuna ruzuku imewekwa ili wasiumie sana kwenye bei ya mafuta. Kweli tumekuwa wajinga. Angalia rate of change in fuel prices hata kwa majirani zetu wa East Africa. Yaani viongozi wetu wanaamini sisi sote ni mbumbumbu wala hatufuatilii yanayoendelea ulimwenguni. Tutaliwa tutakwisha. Kwa ujinga wetu ona kitu anachofanya Januari huko mikoani. Na watu wanashangilia. Kweli jamani?Wakuu habari,