Inakuaje Dume zima unatumia App ya Snapchat?

hapana
 
Hahaaha hata wanawake sio wote wanaotumia sbap chat mkuu, ni wale ma slay queen tu
 
Kazi yake ni nini ?

Jibu kwanza hilo alafu jiulize kama mtu akiwa mwanaume hawezi akapata issue ya kuweza kufanyika kwa hio kazi....

Ukitaka kuishi vizuri usiangalie watu watakuonaje bali fanya kile ambacho kina manufaa kwako (sio kufurahisha umati)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…