Ingekuaje dunia ingekuwa na wanaume tu/wanawake tu....?
Ndvyo ilivyo huko snapchart, watamuonesha nani hzo pocha ikiwa ni wanawake tu., nnafikili mwanamke anafurahi zaisi akitazamwa na mwanaume kuliko na mwanamke mwenzake wacha tukawafurahishe huko.πββοΈπββοΈπββοΈ