Inakuaje hii Toyota LC 300 ni toleo jipya ila usajili wake ni namba C?

Nimeshangazwa na hii Toyota Land Cruiser LC 300 ambazo ni matoleo mapya lakini namba ya usajili ni C.

Ikumbukwe usajili wa Namba C ni miaka ya 2010 huko, imekaaje kitaalam hii?View attachment 3164471
Nyingi wame upgrade inakuwa lc200 unanunua upgrade kit inakuwa lc 300 ndio ubaya wa toyota aliyetoa 400m na aliyetoa 100m hawana tofauti barabarani, ndani ukiingia ndio inakuwa tofauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…