Inakuaje hii Toyota LC 300 ni toleo jipya ila usajili wake ni namba C?

Inakuaje hii Toyota LC 300 ni toleo jipya ila usajili wake ni namba C?

Nimeshangazwa na hii Toyota Land Cruiser LC 300 ambazo ni matoleo mapya lakini namba ya usajili ni C.

Ikumbukwe usajili wa Namba C ni miaka ya 2010 huko, imekaaje kitaalam hii?
Wajomba hao Wazee wa kuwadaka watu ndio wanavyofanya ukiona hivyo jiongeze, sasa hivi wapo wanambinya kende Abdul Nondo huko kabla hawajammaliza na asionekane tena
 
Siku hizi wanaziupgrade LC200 zinafanana kama LC300. Hata Issa Tambuu muuzaji magari maarufu kaupgrade LC200 ya 2018 ikafanana kama LC300 2024. Kwa iyo msitusingizie sisi TISS kila kitu tunaelemewa na majukumu jamani ili muende maliwatoni kwa amani.

RRONDO Mad Max Extrovert
Upgrading from lc 200 to lc 300 ina limitations kibao na mtu mjanja wa magari atajua tu.
Kwenye picha hapo ni lc 300 pure, kwa kuangalia tu side mirror nakioo cha nyuma kabisa
 
Upgrading from lc 200 to lc 300 ina limitations kibao na mtu mjanja wa magari atajua tu.
Kwenye picha hapo ni lc 300 pure, kwa kuangalia tu side mirror nakioo cha nyuma kabisa
Watu wanafikiri ukibadili bonnet, fender na taa tu inakuwa LC300! Kuna mengi yatakuumbua ikiwemo quarter windows na interiors.
 
Ndio ndio mkuu
Asante wala nilikuwa sikijui jina lake kitaalam, on a serious note huwa nachukia sana gari za ku upgrade miitaani. Ni kama tu mtu anyeweka honi badala ya kengele na taa nyingi kwenye baiskei ya phonex
 
Back
Top Bottom