MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 8,974
- 12,662
Kuna mawili... ofisi nyeti za serikali au ni upgrade kutoka zamani kuja mpya. Msimamishe dereva muulize 😀 😀 😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni nomaaaWe mgeni mjini eeh
Tiss wako site aseeeeeNimeshangazwa na hii Toyota Land Cruiser LC 300 ambazo ni matoleo mapya lakini namba ya usajili ni C.
Ikumbukwe usajili wa Namba C ni miaka ya 2010 huko, imekaaje kitaalam hii?
View attachment 3164471
AK series.... State house carsWe mgeni mjini eeh
Hiyo kuona hamna tofauti ni kwa wasiojua magari, iliyofanyiwa upgrade kwa mtu mwenye uelewa mdogo tu wa magari haitaji hata sekunde tatu kuitambuaNyingi wame upgrade inakuwa lc200 unanunua upgrade kit inakuwa lc 300 ndio ubaya wa toyota aliyetoa 400m na aliyetoa 100m hawana tofauti barabarani, ndani ukiingia ndio inakuwa tofauti
Jamaa kasema hiyo plate number ina usajili wa noah
Acha kukariri sio kila gari yakupiga picha.. plate zake nyeusi pambafuNimeshangazwa na hii Toyota Land Cruiser LC 300 ambazo ni matoleo mapya lakini namba ya usajili ni C.
Ikumbukwe usajili wa Namba C ni miaka ya 2010 huko, imekaaje kitaalam hii?
View attachment 3164471
Hiyo ni LC300 siyo LC200, kwenye upgrade kuna vitu vingi utabadilisha ila kuna vitu vinabaki unless otherwise ubomoe/ ukate body yoteYa zamani hiyo wameweka Fender mpya,bumper mpya,Bonnet na Taa ila shape ya milango yote na body lake ni la zamani LC 200 hiyo sema wengine wanauziwa kama mpya maana Wadaslm sio watu..
Naunga mkono, asilimia kubwa ni upgrade, na chache ndio TISS
Kwa muonekano wa nje ninrahisi kubadilisha ila pale mbele kwenye dashboard wengi wanakwama, na hapo ndipo pa kuangaliaUpgrading hiyo a.k.a Pimping ndo ilofanyika hapo mzee...