zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
Wajomba hao Wazee wa kuwadaka watu ndio wanavyofanya ukiona hivyo jiongeze, sasa hivi wapo wanambinya kende Abdul Nondo huko kabla hawajammaliza na asionekane tenaNimeshangazwa na hii Toyota Land Cruiser LC 300 ambazo ni matoleo mapya lakini namba ya usajili ni C.
Ikumbukwe usajili wa Namba C ni miaka ya 2010 huko, imekaaje kitaalam hii?
Haiwezekani, Kikwete 2015 anaondoka madarakani kaacha namba D imeanza sasa unazungumzia 2021LC300 ni toleo la mwaka 2021 kama aliinunua mpya hakuna cha kushangaza kuwa na namba C.
Upgrading from lc 200 to lc 300 ina limitations kibao na mtu mjanja wa magari atajua tu.
Watu wanafikiri ukibadili bonnet, fender na taa tu inakuwa LC300! Kuna mengi yatakuumbua ikiwemo quarter windows na interiors.Upgrading from lc 200 to lc 300 ina limitations kibao na mtu mjanja wa magari atajua tu.
Kwenye picha hapo ni lc 300 pure, kwa kuangalia tu side mirror nakioo cha nyuma kabisa
Asante wala nilikuwa sikijui jina lake kitaalam, on a serious note huwa nachukia sana gari za ku upgrade miitaani. Ni kama tu mtu anyeweka honi badala ya kengele na taa nyingi kwenye baiskei ya phonexNdio ndio mkuu