Inakuaje magazeti haya yanakuwa na kichwa cha habari kinachofanana?

Wanatembezewa bahasha za milioni 10 kabla ya vikao vya kupitisha miswaada hiyo.
 
Mpaka Sasa ccm Kuna watia nia wawili ambao wote no wacheza X ambae ni Mwijaku na Menina
Na Gwaji boy na kondoo
 
Mgombea wa Upinzani inabidi aje na ufumbuzi wa matatizo aliyosababisha MAGU kwenye awamu yake.
 
wametumwa, ionekane chama kinapendwa, ukweli nikwamba kuna mteule mmoja kutoka mjini aliyetumwa na 'yesu' hukuwale wazawa wakikuna mikia, wakilalama inakatwa! mamaee
 
Nadhani hujawahi kutembea na waandishi wa habari
 
Mr John Pombe Magufuli anapendwa sana na ni YESU wa wanaCCM....

Lakini cha ajabu anatumia nguvu kubwa na fedha nyingi kujilazimisha kupendwa tena na tena....

Hiyo siyo "coincidence" bali ndivyo ilivyopangwa na kulipwa ili waandike hivyo...

Yaani kutapa tapa full mazima...

Yaani they know exactly kuwa nafasi zao walizonazo zinaelekea ukingoni. Hata shinda tena hawa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…