Kinyungu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2008
- 19,484
- 38,416
Vyombo vyote vya habari kwa
Vyombo vyote vya habari kwa sasa vipo kwenye mfuko wa shati wa yesu wa ChattleMagazeti tofauti, waandishi tofauti kichwa cha habari kinachofanana hadi maneno yalivyoandikwa. Je, mwandishi wa magazeti haya ni mmoja au yanaandika kwa maelekezo kutoka upande fulani?