Najua Kwa ubinadamu wetu wengi huenda tumesahau, Trump alikoswa mara mbili kuwa impeached, kukataliwa heshima ya Rais Mteule marekani kuhutubia Bunge la UK, achilia Mbali Celebrities wakubwa kubwa kuvaa mpaka T-shirts za Sio Rais wangu, Icons wa Music kama Beyonce, na wengineo kugoma na kukanusha kuimba Kwenye uapisho wake, kashfa Mbali Mbali za ukwepaji Kodi ktk biashara za familia Yao, na shutuma za kingono, kesi akiwa Rais wa kwanza kushitakiwa ktk historia ya Taifa Hilo kongwe, na kubwa kuliko ni wafuasi wake kuvamia majengo ya Bunge la Senet Ambalo ni Moja ya Nembo za Taifa hilo na kuharibu baada ya kushindwa kuingia Tena WH Awamu ya pili.
Narudia hayo yote wameona wayamezee wamchague kuliko mwanamke, NASEMA WAJITAFAKARI. watu wa Leo sio wale wa enzi za Giza.