Inakuaje Marekani ikiwa kinara wa kudai wanawake Duniani haswa Africa wapewe nafasi za uongozi na kuweka kama kigezo Cha misaada ila wao hawako tayari

Kama Kichwa Cha Habari kinavyoeleza Kuna Nini nyuma ya pazia? Marekani as kiranja wa Dunia anafahamika kama kinara wa kupiga chapuo wanawake kupewa nafasi something which is not bad.

Ila Wao Huyu Rais wa 47 hawako tayari kuchagua Rais mwanamke. Ila Africa na uchanga wetu wanaoona it's fare kuweka wanawake kama Marais na kuwa-empower.

Mimi sio mbaguzi lakin Tangu Bi Hilary Clinton na sasa Kamala ni Men wanachukua. Kumbe hata wangemweka Trump na Mama maria angeshinda Trump.😜

Soma Pia: Donald Trump ashinda Urais wa Marekani kwa 51.05% dhidi ya Harris Kamala aliyepata 47.46%

Unaweza kuona pia Biden alishinda pamoja na umri mkubwa kamshinda Trump lkn ilipokuja Kwa Kamala wakaona Shida.🥲 Hii tunaiitaje wadau wa wa Jukwaa na watu Excellence wa JF?
Ulikuwa na uçhaguzi wa rais siyo wa mwanamke.
 
Hao ndiyo mabeberu mkuu. Mambo ya 50/50 kwao ni katika nyaja zingine ila sio URAISI.
Ingawa sio vizuri kusema kwamba "WANATUCHEKA" ILA NDIYO UKWELI HALISI KATIKA ULIMWENGU WA SERA ZA DUNIA YA HII.
Kwanza Wamarekani hawajawahi kuwaambia muwe na hiyo 50/50, lakini pia inategemea hiyo 50/50 ina tafsiri gana kwako. Tafsiri ya kwanza inaweza kuwa upatikanaji wa nafasi za kugombea uwe 50/50 kwa maana ya kwamba mwanamke asizuiliwe au asiwekwe vikwazo vya kugombe na kushriki siasa kwa sababu ya jinsia yake, tafsiri nyingine inaweza kuwa ni hiyo mliyojiamulia nyie wenyewe mfano ya kugawa viti vya ubunge kwa kigezo cha jinsia tu.
 
Kuna watu ni wapuuzi sana, wanatengeneza story za kubumba tu kukwepa kuwajibika kwa mambo yao wenyewe wanabaki wanasingizia watu wengine ambao hata hawana habari nao.
🤣🤣 Kwakweli wazungu wamesingiziwa sn
 
Hao ndiyo mabeberu mkuu. Mambo ya 50/50 kwao ni katika nyaja zingine ila sio URAISI.
Ingawa sio vizuri kusema kwamba "WANATUCHEKA" ILA NDIYO UKWELI HALISI KATIKA ULIMWENGU WA SERA ZA DUNIA YA HII.
Sasa wapi duniani uraisi ni 50/50 jamani shangaeni kumbe kuna nchi zina maraisi wawili au unachangia kitu hukielewi
 
Ndipo mtajua hamjui...
JK alisema, za kuambiwa changanya na zako...
 
Najua Kwa ubinadamu wetu wengi huenda tumesahau, Trump alikoswa mara mbili kuwa impeached, kukataliwa heshima ya Rais Mteule marekani kuhutubia Bunge la UK, achilia Mbali Celebrities wakubwa kubwa kuvaa mpaka T-shirts za Sio Rais wangu, Icons wa Music kama Beyonce, na wengineo kugoma na kukanusha kuimba Kwenye uapisho wake, kashfa Mbali Mbali za ukwepaji Kodi ktk biashara za familia Yao, na shutuma za kingono, kesi akiwa Rais wa kwanza kushitakiwa ktk historia ya Taifa Hilo kongwe, na kubwa kuliko ni wafuasi wake kuvamia majengo ya Bunge la Senet Ambalo ni Moja ya Nembo za Taifa hilo na kuharibu baada ya kushindwa kuingia Tena WH Awamu ya pili.

Narudia hayo yote wameona wayamezee wamchague kuliko mwanamke, NASEMA WAJITAFAKARI. watu wa Leo sio wale wa enzi za Giza.
 
Hizo ndo hoja zako mtu mweusi kutoka Mpitimbi songea,ukiwashauri USA?
 
Kwa hiyo wako Kwenye jua au Kiti Cha Enzi Cha Muumba ndio wasishauriwe? Ushauri ni hiari bila kutizama nani anakushauri hata mwokota makopo aweza kukushauri we unaekaa masaki. Mpitimbi huko Mbali kote..
 
Anza na yaliyopo nchini mwako kwanza.
 
Mtoaj mada ana ufinyu wa uelewa mana unataka kwamba hata kama mtu Hana uwezo basi lazima awe raisi wenzio wa marekani wamepima wameona hyu hawezi wewe unaanza leta mambo ya kijinsia kwa kweli haupo serious
 
Katika sera na vigezo husema usawa wa jinsia Uzingatiwe? Wewe husikiagi? Na miradi mingi kuhamasisha nadhani waanze kujihamasisha wao kwanza. Waweke Rais mwanamke ndio wataeleweka. Au mpaka wafike Rais wa 60?
Ukiambiwa jambo ulifanye tu bila ufafanuzi ndiyo muda mzuri wa kuonesha umahiri wa kutumia akili zako.
 
Sasa wapi duniani uraisi ni 50/50 jamani shangaeni kumbe kuna nchi zina maraisi wawili au unachangia kitu hukielewi
Tumia akili wewe. Hujaelewa nini hapo?

Topic ya Gender hukuisoma?
 
Kama Kichwa Cha Habari kinavyoeleza Kuna Nini nyuma ya pazia? Marekani as kiranja wa Dunia anafahamika kama kinara wa kupiga chapuo wanawake kupewa nafasi something which is not bad.

Ila Wao Huyu Rais wa 47 hawako tayari kuchagua Rais mwanamke. Ila Africa na uchanga wetu wanaoona it's fare kuweka wanawake kama Marais na kuwa-empower.

Mimi sio mbaguzi lakin Tangu Bi Hilary Clinton na sasa Kamala ni Men wanachukua. Kumbe hata wangemweka Trump na Mama maria angeshinda Trump.😜

Soma Pia: Donald Trump ashinda Urais wa Marekani kwa 51.05% dhidi ya Harris Kamala aliyepata 47.46%

Unaweza kuona pia Biden alishinda pamoja na umri mkubwa kamshinda Trump lkn ilipokuja Kwa Kamala wakaona Shida.🥲 Hii tunaiitaje wadau wa wa Jukwaa na watu Excellence wa JF?

Mkuu, ni wapi unapata ujumbe kwambaKamala kashindwa sababu ni Mwanamke?
 
Back
Top Bottom