Inakuaje mbunge Hajui kwamba hela ya kumuona daktari ni ya serikali yao CCM

Inakuaje mbunge Hajui kwamba hela ya kumuona daktari ni ya serikali yao CCM

Niambie Tu

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2022
Posts
280
Reaction score
727
Habari .

Kwanini wabunge watanzania wanachangia hoja pasipo kuwa wafuatiliaji wa mambo.

Leo nimeona mbunge mmoja anaongea kuhusiana na hela ya kumuona Daktari (consultation fees)

Hii ni fedha muongozo wake ulipitishwa bungeni na wabunge wakakubali.

Kingine hela ya kumuona Daktari haingii kwenye mfumo wa daktari kama anavyoongea Bali ni hela inayobaki kituoni na kwa Hospitali kubwa za serikali kuanzia za wilaya inalipwa kwa control number kwenda moja kwa moja serikali kuu hazina.

SASA JE KWANINI ANAONGEA KAMA HELA INALIWA NA DAKTARI.

WAJITATHIMINI HAWA WABUNGE
 
Wana wazimu

Na hapo wanapiga kelele hivyo, wakija kwenye utendaji kutwa kuwaambia watumishi mapato yaongezeke,

Hospital inabidi ijiendeshe yenyewe,
Wanategemea pesa zitoke wapi.

Yani siku hiz afya kipaumbele sio afya tena,
Cha kwanza mapato cha pili ndio afya
 
Back
Top Bottom