Inakuaje mdada ni flat screen halafu bado unangoja utongozwe?

uandae maelezo ,maana si kwa kunisusa huku,au kisa mie flat jmn😢😢

Sijakususa Katoto kangu. Mambo mengi tunakimbizana na mahitaji.

Flat yako nimeikubali ndio maana Moyo wangu unayoyoma juu yako.

Gari kubwa ni za kuuzia sura lakini Gari ndogo ni za muda wote
 
Sijakususa Katoto kangu. Mambo mengi tunakimbizana na mahitaji.

Flat yako nimeikubali ndio maana Moyo wangu unayoyoma juu yako.

Gari kubwa ni za kuuzia sura lakini Gari ndogo ni za muda wote
😂😂 unanipaka mafuta kwa mgongo wa chupa ,Mi nimenuna😒😒😒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…