Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jamani hivi inakuaje unamugeuza mtoto wako kuwa kitega uchumi? yaani unawaza mpunga mpaka unamgeuza mwanao kitega uchumi? au ndio kutafuta umaarufu? vyombo vya kutetea haki za watoto mkuje uku bongo watu wanakiuka haki za watoto.
Kwanini wewe ni Ali Kiba? Diamond alikufanya nini?
Du naona wewe hulali kabisa unamuwaZa Daimond
Piga kazi kila kitu kinawezekana, wivu utakufaa wewe
Yaani watz ndio maana masikini mtu na akili zake kabisa ana post haya. Mimi uwa natembelea humu japo nikutane na great thinkers lkn mmh kazi tunayo
jamani hivi inakuaje unamugeuza mtoto wako kuwa kitega uchumi? yaani unawaza mpunga mpaka unamgeuza mwanao kitega uchumi? au ndio kutafuta umaarufu? vyombo vya kutetea haki za watoto mkuje uku bongo watu wanakiuka haki za watoto.
Mwambie kibakuli nae awatafutie ubalozi watotowake kama ataweza tatizo mvuto wa kistaa hakunaaa
Yani Tiffah alivyo na nyota kapata mikataba yenye pesa nyingi ambayo kibakuli kutengeneza anasota saana
Mfano mkwanja aliopiga PUGU MALL siku anazaliwa tu!! ilikuwa millioni 50, achana na endorsement ya shopping ya millioni 1 kila mwezi mwaka mzima jumla 62 million.. WE KUTWA KUPIGA KELELE KUHUSU TIFFAH, NI KWASABABU YA WIVU TU, maana kibakuli kutengeneza pesa ya siku hiyo kwa kichanga anatengeneza nusu mwaka hahahahaha bado hajazipunguza kwa mejialabi .... HAPO BADO NMB ambao ndio wametishaaaaaaa bado tv rights CLOUDS TV...
MINYOOSHO INAENDELEA
kuwa na heshima kwa Alikiba kwanini umuite kibakuli shwain wewe.
hahahahahahaha kibakuli mbona poa tu, wr unaliona baya?
jina lake hulijui au?
K 4 REAL men
Wakati nyinyi munatusubiri sisi tumuelewe huyo kibakuli wenu ACHENI HUYU ANAYEPIGA HELA NA TULIYEMUELEWA KWAMBA ANAJUA KUTUMIA FULSA na atumie fulsa bila ya maswali yenu.Alikiba Alikiba wataelewa tu