Mimi nimeshapenda mpaka kupitiliza.Na nimeshaumizwa sana kama sijajiua kipindi hiko sijui kama nitajiua tena.
Good....you are brave....
Kuachwa inauma ila mie mwenzenu sijui nna roho mbaya au vipi kama umenichoka nshaona dalili nasepa hata kama naumia kiasi gani mambo ya kumng'ang'ania mtu hapana na haitatokezea tukishamalizana ndio basi imetoka hiyo nasema na moyo wangu basi wanaume wamejaa tele nkajiue kisa nini?