pierre tall
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 4,131
- 3,505
Kwa mtu ambaye hajawahi kuumizwa na mtu aliyempenda ni rahisi sana kuponda au kusema wewe huwezi fanya hivyo...ni kwel huwez fanya hivyo ila unaweza ugua ukichaa kwa muda au kupata magonjwa mengine na hili ni tatizo kubwa linalowatokea wanawake ndio maana wengi huwa na kauli za sungura na mawazo yenye stress,hata hapa jukwaan wapo sana...hawa ni wale waliougua ugonjwa wa akili kiasi kwamba akisikia kuhusu utamu wa mapenz lazima aponde,maana ake anakumbuka ya nyuma kwa hiyo anaumia na kichaa kinapanda...kwa hiyo ndio kusema kila mtu ana jinsi yakuathirika na maumivu ya mapenzi kulingana na alivyombwa...