hii hutokana na kujitoa sana kwa kuwekeza kiasi chote cha upendo ulicho nacho kwa umpendae,inafika stage hata unavojipenda ww haifui dafu kwa mwenzio hivo unapotendwa unakua na asilimia asilimia chache kwako hivo asilimia nyingi za kujichukia na kujutia,hapo humwamini yeyote kwa mda huo hata kuomba ushauri inakua ngumu,maamuzi ya mwisho yanafikia kujitoa uhai..
solution.ukitendwa au kuumizwa kaa chini tafakar,ni upendo gani uliojitoa usioweza kuurudisha?
2.fikiria ni wangapi wamepitia hali kama yako na wakafanikiwa.
3.kumbuka you are not alone,huu ni ulimwengu wa watu kama bilioni 7 hutakosa atakaekupa msaada wa mawazo au atakayekupa faraja zaid ya yule.
4.anza kujipenda mwenyewe.
5.samehe,sahau na kupotezea kabisa.
6.kumbuka bado maisha ni matamu,uendako hupajui