Ambivert88
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 3,609
- 6,388
Jina lake hukufanikiwa kumpiga picha au kumrekodi videoStori ni ndefu Ila nimejaribu kusummarize
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jina lake hukufanikiwa kumpiga picha au kumrekodi videoStori ni ndefu Ila nimejaribu kusummarize
Ushauri wangu ni kwamba serikali ya CCM iache kuchezea fedha za umma kwa kufisadi na matumizi ya kipumbavu kama vile kuwalipa wake za marais badala yake hizo fedha ziende kuhudumia wananchi maskini. Wewe unashauri nini mkuu?mbona majority tumesoma primary to tertiary level public institutions kwa mafanikio makubwa, huduma nyingi za kijamii over 90% tunazipata kwa public facilities, changamoto zilizopo hata ungeishi first world countries kuna malalamiko mengi (people want more quality service), ingawa kwa wenzetu issues zinakuwa ni za kisera zaidi, unasema huku kwetu (shule, hospitali, barabara, majengo, nk. Ni upuuzi mtupu!) , hapo ushauriwako ni upi? ziwe privatized to serve the few privileged?
..nakuja mkuuUshauri wangu ni kwamba serikali ya CCM iache kuchezea fedha za umma kwa kufisadi na matumizi ya kipumbavu kama vile kuwalipa wake za marais badala yake hizo fedha ziende kuhudumia wananchi maskini. Wewe unashauri nini mkuu?
Kuna mtu aliwahi sema "Najua Kuna siku mtanikumbuka. Na mtanikumbuka kwa mema Wala si kwa mabaya"Heshima kwenu Wakuu,
Nimekwazika sana, mara ya 2 mtu unaenda kitengo flani kutaka huduma na maelekezo vizuri namna ya kufanikisha jambo lakini majibu unayopewa ni ya mkato na dharau imetamalaki.. yani sijawahi onyeshwa nyodo za hivi ata na mwanamke tokea nizaliwe.
Huyo jamaa siku ya kwanza naenda ofisini nikakuta foleni, ilikua unasikia mwezako anavojibiwa na sio mimi pekee wote ata wa mbele yangu mwendo ni ule ule majibu yake short yasiyojitosheleza.
Imefika zamu yangu, namsalimia Habari ya kazi bro, kanyanyua kichwa na kujibu 'ehee??' Basi nikaanza kujieleza shida yangu napokwama napohitaji msaada, aisee jamaaa akanichana "nenda kwenye point acha maelezo mengi".
Dah nikajikaza kiume, "ok, in a nutshell shida yangu ni hii..." cha ajabu akaomba details, kumpatia akaanza kuuliza yale yale aliyonikatisha wakati namueleza, reaction yangu nikaanza kujibu short and simple na yeye maswali yakawa mengi nilimshangaa sana.
Niliambiwa nirudi siku inayofata asubuhi opening hours, nimejihimu na kupanda boda ili niwahi foleni kufika kweli nimemkuta, kumpa salamu jibu lake.. "Njoo baadae" no time slot.
Mimi sio snitch na sipendi kuchongea ila kwa dharau alizonazo huyu pimbi natamani ata nimtafute in charge wake nitoe malalamiko. Imagine ile siku ya kwanza tuko wengi tu anasema "Jipangeni kwenye foleni, nyie si watu wazima au?" Na kulikua na watu wa makamo pale.
Kwani ukimjibu mtu vizuri unapungukiwa nn? Nakukumbusha tu mshahara unaolipwa ni kutokana na kodi zetu iweje hau heshimu walipa kodi?? Kiumri ni braza makadirio umenizidi miaka 4 au 5 apo ila heshima ni bure mzee.
Ni TRA Tanzania
Karibu mkuu..nakuja mkuu
Sasa mbona baada ya yeye kwenye point analalamuka wewe ukarudia tena kumuuliza yale yale aliyokuwa anajaribu kukueleza hapo shida itakuwa ipo kwako ulikosea kukurupuka ungemsikiliza kwanza pengine alikuwa na hojaKwahiyo nilivyo kuambia upange foleni nilikosea?
Pia kukuambia nenda direct nilikosea?
Umeamua uje usema hapa wakuu mtu alikuwa anazunguka ana elezea anarudi kulekule ndio maana nikamwambia aende direct kwenye point
Mimi nipo kwenye jokes mkuuSasa mbona baada ya yeye kwenye point analalamuka wewe ukarudia tena kumuuliza yale yale aliyokuwa anajaribu kukueleza hapo shida itakuwa ipo kwako ulikosea kukurupuka ungemsikiliza kwanza pengine alikuwa na hoja
Ndio kuna wajinga wanauliza mboni kule sinza fremu ina shati 2 na suruali 3 tu sijui kufanyaje hawajui kuna watu wanapewa tu hela za ubweteUshauri wangu ni kwamba serikali ya CCM iache kuchezea fedha za umma kwa kufisadi na matumizi ya kipumbavu kama vile kuwalipa wake za marais badala yake hizo fedha ziende kuhudumia wananchi maskini. Wewe unashauri nini mkuu?
Sawa mkuu😔OK; Usirudie tena na assignment yako unayopewa kama malipizi ni kuwatahadharisha wenzio wote hapo Ofisini ili wajirekebishe.
Tufanyaje na hayo ndiyo marupurupu mkuu, nisamehe 😔Wewe ni mwalimu mkuu. Imagine Jana umenichapia mwanangu mikono imevimba hadi anashindwa kutembea sababu ya laki tatu... Kweli?
Eeeh kumbe basi kaziMimi nipo kwenye jokes mkuu
Nakazia....Hapo ni shida ya malezi na sio ajira serikalini
Kwa kweli nchi hii ina mambo ya kiku.ma sana mkuuNdio kuna wajinga wanauliza mboni kule sinza fremu ina shati 2 na suruali 3 tu sijui kufanyaje hawajui kuna watu wanapewa tu hela za ubwete
kwa hio akihesabu na kudeposit hela unaona hapo hapo mkuu....Ila salio linapungua ukiondokaKuna pimbi mmoja NBC aliniibia pesa. Nilikuwa ndeposit fedha nyingi eti badala azihesabu kwa kutumia machine, akanza kuzihesabu kwa mkono kisha akawa anaziingiza sasa mashine. Ndipo ikapelea noti moja ya 10000 wakati pesa nilizihesabu vizuri tena nikarudia.
Nikaja kutonywa na mtu kwamba huwa wanajifanya kuhesabu kwa mkono kwanza ili kumzubaisha mteja. Ukizubaa tu anatupa noti moja chinikisha anaanza sasa kuhesabu kwa mashine.
Nilimkamia sana yule mwanmke siku moja nikarudi pale nimkamatishe bahati nzuri hakuwepo. Ningekiwasha asingekuja kunisahau maishani mwake.
TRA TanzaniaTRA wana customer care mbovu kuliko ata monchwari.
Hapana sio hivyo mkuu. Nilitoka nyumbani nikiwa ninehesabu pesa zangu vizuri zimetimia nilipompa cashier akajifanya anahesabu kwa mikono kabla ya kuhesabu kwa mashine. Alipozihesabu kwa kutumia mashine ikapungua note moja ya 10000 kumbe aliidondosha chini kwa makusudi ili baadaye nikiondoka aichukue ale.kwa hio akihesabu na kudeposit hela unaona hapo hapo mkuu....Ila salio linapungua ukiondoka