Inakuwaje baadhi ya wanawake wapo tayari kumwacha mwanaume anayempenda kisa fedha baadaye anarudi na kutaka muwe wapenzi kisirisiri?

by nature mwanamke (18 -33) hajui anataka nini yeye anasubiri umuaminishe, iwe kwa maneno, matendo, pesa, hisia n.k yani wewe mwaminishe anachotaka kuamini utaishi naye period mapaka utakaposhindwa wewe
 
Kumvumilia mwanaume ambae hana pesa ni kazi sana..... Ni wanawake wachache wenye roho hiyo.....Kuna siku ntaleta story yangu hapa
Bora umekuwa mkweli hapo ndipo utajua wanaume tuna mioyo tofauti yaani sometimes tunalea mke,mkwe na mashemeji hatulalamiki.
 
😀😀😀
 
Kusema kweli ni za kawaida mno!

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Baby Love! umesema kweli kabisa ya moyo! wala usitie chembe ya hofu Kwa hao wasema hovyo !! ke Wao ni walaini kimaumbile yao tangu Eden!

Baadhi ya midume inataka ke wawe ngangari km wao yaani me... hayo ni makosa ya kufikiri!! hasa kwa watoto wa Mama ambao humu ni wengi tu!!

kama hivi wkt Hawa anaongea na Shetani kwa maneno matamuuu pale Bustanini Adamu hakuwepo!..ina maana Adamu alikuwa Busy na maisha ya bustanini, aliachia upenyo wa shetani kupenya paleee!

hiyo ikamfanya Shetani kula tunda kirahisi tu!! mpaka Hawa akabeba ujauzito wa lile toto kubwa korofi lililo muua mwenzake yaani (Abel) Kimasihara tu!..

hayo Matoto korofi yapo mpaka humu JF leo!..so yakiropoka potezea tupe uhondo sie!
 
Kurudi tena ni kujidhalilisha
Rudi tu bana weee! kwa raha zako tena kifua mbele! hakna anaye kuona wala kukuhukumu ila unajihukumu mwenyewe bila sababu!! yaani kujitesa binafsi!!

dogo sikia hapa; Mapenzi ni Sanaa Safi!! icheze kwa ustadi ufaidi ili mradi tu roho inapenda!! kwa nini uutese Moyo wako uchakae?? !!! ukiweka sula la udhalili mbele.. utapata Pressure buuuure.......

kwa kuwa kwako ivo yaani utaogopa hata kukanyaga ardhi ya Mungu!...Hasara utapata kuwa mgonjwa mgonjwa, utachakaa buree! kula bata weye...
 
Mkuu ilikua hivi..... Mim nliingia kweny mahusiano na mtu Hana pesa na me Sina.

Tukaweka mikakati ya kuzitafuta pesa kweli kila mtu anatoka kidg knachopatikana yanafanyika maendeleo.
Mke kismart!! keep it up! hasa ukiwa na kisura kizuri kidogo ndo kabisaaaa!! umeua!
 
Ungekua wife material ungempatia condom na ushauri wakujilinda anapoenda Kugegeda, hakuna mwanaume anapesa mfukoni ana mwanamke mmoja , kwahiyo kisa yeye alichepuka ukaona wewe uuze mbususu Kwa vipande vya fedha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…