Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante kwa ushauriMbona umepaniki? Yawezekana ndio.una tabia hizo..badilika acha kua na tabia mbovu mbovu.
Dah!...hatari hiiAlways Remember: She is not yours it's just your turn.....
Bora umekuwa mkweli hapo ndipo utajua wanaume tuna mioyo tofauti yaani sometimes tunalea mke,mkwe na mashemeji hatulalamiki.Kumvumilia mwanaume ambae hana pesa ni kazi sana..... Ni wanawake wachache wenye roho hiyo.....Kuna siku ntaleta story yangu hapa
😀😀😀Alikuwa promote, nikajua we will still be on the same boat.. baada ya miezi sita,nikabwaga manyanga kiboba moja wa TRA alikuwa na hudumia.. three years later, she is ready to do anything to win my heart back, hta ka itakuwa nikuwa mke wa pili...and she's very serious wanawake bhana.
Baby Love! umesema kweli kabisa ya moyo! wala usitie chembe ya hofu Kwa hao wasema hovyo !! ke Wao ni walaini kimaumbile yao tangu Eden!
Mnarogwaga bana weee!..ukalishe mijitu weeeeBora umekuwa mkweli hapo ndipo utajua wanaume tuna mioyo tofauti yaani sometimes tunalea mke,mkwe na mashemeji hatulalamiki.
Rudi tu bana weee! kwa raha zako tena kifua mbele! hakna anaye kuona wala kukuhukumu ila unajihukumu mwenyewe bila sababu!! yaani kujitesa binafsi!!Kurudi tena ni kujidhalilisha
Mke kismart!! keep it up! hasa ukiwa na kisura kizuri kidogo ndo kabisaaaa!! umeua!Mkuu ilikua hivi..... Mim nliingia kweny mahusiano na mtu Hana pesa na me Sina.
Tukaweka mikakati ya kuzitafuta pesa kweli kila mtu anatoka kidg knachopatikana yanafanyika maendeleo.
Kuwa hoe ni rahisi sana.Kumvumilia mwanaume ambae hana pesa ni kazi sana..... Ni wanawake wachache wenye roho hiyo.....Kuna siku ntaleta story yangu hapa
Buda umepanick sana, kuuza nyapu sio deal.Brother jiheshimu..... Hofu ya Mungu ya unaijua ww....punguza kukurupuka.... Gold nyokwe unamjua ww shenzi
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Always Remember: She is not yours it's just your turn.....
Sad [emoji22][emoji22]1.Wanawake hawajaumbiwa mateso
2. Mke siyo ndugu yako. Amekukubali ili ale butter zako na akuongezee majukumu kwa kuzaa watoto utakaowahakikishia kula bata siku ukiishiwa anaamsha popo
Totally agreed [emoji817]Matatizo mengi ya wanaume yanasababishwa na kuwaonea huruma wanawake.
Ww ni muuza mbususu tu unaejiheshimu[emoji16]Kumvumilia mwanaume ambae hana pesa ni kazi sana..... Ni wanawake wachache wenye roho hiyo.....Kuna siku ntaleta story yangu hapa
Ungekua wife material ungempatia condom na ushauri wakujilinda anapoenda Kugegeda, hakuna mwanaume anapesa mfukoni ana mwanamke mmoja , kwahiyo kisa yeye alichepuka ukaona wewe uuze mbususu Kwa vipande vya fedha?Mkuu ilikua hivi..... Mim nliingia kweny mahusiano na mtu Hana pesa na me Sina.
Tukaweka mikakati ya kuzitafuta pesa kweli kila mtu anatoka kidg knachopatikana yanafanyika maendeleo.
Badae mambo yakawa SawA hapo sasa mwenzangu ndo akaanza marafik na kua mchepukaji mashuhuri.....
Badae nkasema hapana nkaondoka nkaanza maisha yangu upya taratibu..... Mwanzo nlipata magum man sikua hata na kijiko...... Badae mambo yakakaa SawA.... Sa hv anataka turudiane......
Kwa hyo sio tu wanaume wanapitia hayo mambo hata wanawake pia..... Nmesema kumvumilia mwanaume ambae hana pesa ni wanawake wachache wenye uwezo huo kwa sabb me nmepitia maisha hayo!
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app