Una tako kwanza dada au unaongea tu .Sema huna nyota tu mkuu/hela tu Mkuu!! hizo zilikuwa deal tangu zama na zitauzwa sana tu Milele!...Mariamu Magdalena aliuza sana.....lkn alikuwa wa kwanza kujua Yesu kafufuka.........unamjua Bibi yake Yesu wewe??
Usiwaone ivo ukawadharau...hao na watoza Ushuru...watakuwa wa kwanza kuchechemea wokovu! kaisome Biblia vizuri ulete mrejesho
Alafu Usikute wewe ndie unaeteseka na ndoaWeweee hakuna wa kumnyoosha mtu anae kupikia ...sasa sikia ukiona ametulia mbali na kumnyanyapaa ujue zako zina hesabika tu! mlishaambiwa ''mkae nao kwa akili''
Mungu mwenyewe na jeuri yake yooote aliwapa hilo onyo!! na wewhapa umekumbushwa bure sasa kaa nae huyo ke kwa kutumia makalio uone moto........hatutakuona humu tena!
Matatizo mengi ya wanaume yanasababishwa na kuwaonea huruma wanawake.
Kurudi tena ni kujidhalilisha
Mnarogwaga bana weee!..ukalishe mijitu weeee
Ongea yote ropoka yote ila as a man nikikuigno huna jipya duniani.Loool!! jitu Baba zima ninalipikia, lina sonsomera matonge! nalibeba, nalilaza kitandani kama toto dogo, tena linanililia kifuani, bila kupigwa, ninalizalia photocopy vidume visivyo idadi!...eti linikimbie?? liende likazae huko tena??
Acha utani bana!! sie humu tuko serious!...yaani kabisa liondoke na suruali linachanganya vitako pasi.eti naondoka?Mawee Mkama wangeeee!! ofwire nyambara...... Kwanza ...
Hayo matoto yake yenye macho kodo alokojolea hapa, yaani tena bure bure tu!! atamuachia nani??thubutuu? akae atulize akili za kinyeo hapa, vinginevyo Ama zake! Ama zangu! ataitwa alikuwepoga!! favoritismyname!!
ataona Dunia inazunguka kinyume nyume!....athubutu aone!! hata kutania tu! haya madume tuna yazaa bure tu haya tulipi chochote kamwe hayana ujanja ...wengi humu ni ujanja nyuma ya key Board tu!!
Sasa hawa me! wenye kelele hawa! uwakute wakiwa kwa wake zao ni utacheka mpaka unye! yaani ni kimyaaaa!! utadhania siyo wao! kama mie muongo Mtizame DR VAMA akiwa na mke wake!!
Ukitaka Boss wako akupende wewe jitahidi tengeneza urafiki wa heshima na mkewe! ! ke akimtamkia tu mumewe huyu kijana hodari sana nampenda sana!! Basi Mwana niamini mimi kuwa umeula!
Ndo uone ke walivyo na nguvu!! Hayati J.K. Nyerere alipotaka kwenda soma Mwisenge! cha kwanza alichofanya alimwambia Mama yake mzazi kwanza, ili akamuombee Rhuksa kwa Mzee Burito Nyerere!!
Kilicho tokea kikawa kikubwa sana Africa na Duniani kwa ujumla wote humu mnajua. Nyerere ni Iconic figure ya Dunia, chanzo ni Mwanamke wa chief! Mama Mgaya!! Mungu amlaze mahali pema huyo Bibi !!
bila huyo Bibi kumuombea Rhuksa Mchonga kwenda kusoma S/Msingi Mwisenge!! leo hii nisingepata Elimu ya karibu na Bure! Nisinge ishi Biafra! nisingekuwa nyuma ya key Board!
huenda wakoloni wangekuwa bado wapo humu tunakula nao vihepe!...achana na kitu Ke!...akina Mama wenzangu Hongereeeni saaana!! Nyie/sie ndo tumeishika Dunia Pabaya tujitambue! tuwapeleke hawa kenge hawa!
Natoa wito kwa wa-Mama/wadada wooote humu JF! na woote kuwa usikubali kutumiwa km Ganda la muwa!! serikali ipo pamoja na sisi! Me hawana jeuri!! ya kututumia sie bali ni ujanja ujanja mwingi tu nyuma ya key Board!!
Lakini kiundani ni walaini mnooo!!! .....watumwa wetu wa hiari tu!! kwanza wanatutafuta tafuta kwa mbinde kama zoote!! tunawabariki wanapata hela/utajiri!! tukinuna ndani hawapatiga hela hao!! hawasemagi tu!
lkn kiundani wanjua hilooo! ..kwanza me ambae hajaoa utamuona tu mchafuuu! kikwapa!...hana mbususu pia kupata nikwa mbinde sana! lkn aliyeoa msafiii tena anapaka mafuta/perfume! Mbususu km zote zinamfuata!!
HakikaSio kunidhalilisha ni kuweka hadharani upuuzi na udhaifu wa baadhi ya wanawake...
No this is actually hypergamy wala sio needs. Na hypergamy kupitia social studies zimeonyesha ipo ndani ya mwanamke sio kila binadamu. Kuna needs na expectations, kukosa needs ni tofauti na kukuta low expectations. You can have needs lakini ukawa na very high expectations, ukaona hapa sio sahihi. Nahichi ndicho wanawake wengi wanacho. Kila kitu hujengwa ili kiwe kizuri bali still wanawake wengi hawakubaliani na hicho ila sio wote.Once the most pressing need i satisfied we move on to the next need
Ndio nature ya binadamu si wanawake tu
They married upwards si wangetulia sasa...No this is actually hypergamy wala sio needs. Na hypergamy kupitia social studies zimeonyesha ipo ndani ya mwanamke sio kila binadamu. Kuna needs na expectations, kukosa needs ni tofauti na kukuta low expectations. You can have needs lakini ukawa na very high expectations, ukaona hapa sio sahihi. Nahichi ndicho wanawake wengi wanacho. Kila kitu hujengwa ili kiwe kizuri bali still wanawake wengi hawakubaliani na hicho ila sio wote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unachukua Mtoto alafu unampotezea mwanamkeWanawake walio wengi
Daaah huyo demu kavu kishenzi.
Sasa what's the point of entering marriage kama unajua haujaridhika. Kila kitu huwa na kiasi, na unapoapa kuwa ndio nimeingia ndani ya ndoa basi iheshimu lasivyo itabaki kusemwa ndoa ni scam na wala sio ya muhimu. Pia mtaka yote kwa pupa hukosa yote, kama ulishindwa kupata true love huko nyuma nani kakwambia utaipata sasa isipokuwa kwa mume wako ukiacha wazazi pembeni.They married upwards si wangetulia sasa...
Nini kimewarudisha Misri?
Ni need ya ndoa iko satisfied ila wanamiss the true love they enjoyed prior..
Hypergamy is not a problem ndivyo ilivyo ili kusaidia mume uheshimike kwenye ndoa
Btw i thnk bora hao mabinti walifata ndoa
Mana hao wanachuo wenzao kuoa ilikua bado sana
Wanakuja kuoa at 35 na wanataka wadogo wa 25
Maamuzi sahihi
Ni suala tu km wote mnataka kupasha kiporo pasheni maisha yaendelee
Imekolezewa wino mzito mara kendaImeandikwa " fedha ni jawabu la mambo yote"
Amen
Ndio wakajiulizeSasa what's the point of entering marriage kama unajua haujaridhika. Kila kitu huwa na kiasi, na unapoapa kuwa ndio nimeingia ndani ya ndoa basi iheshimu lasivyo itabaki kusemwa ndoa ni scam na wala sio ya muhimu. Pia mtaka yote kwa pupa hukosa yote, kama ulishindwa kupata true love huko nyuma nani kakwambia utaipata sasa isipokuwa kwa mume wako ukiacha wazazi pembeni.
Pia hao mabinti hawakufanya kitu chema bali wamejiwekea regrets huko mbeleni maana ndoa sio games bali majukumu ambayo huitaji kujitoa ili uyafanikishe. Watafanya upumbavu ambao huja kuharibu ndoa zao kwamikono yao kwakutumia hiyo reason yako ya "true love". Pia mwanaume au mwanamke anayepasha kiporo ni mpumbavu na anafanya uzinzi au uasherati, pia umeidhihaki agano la ndoa. Ndio maana nikasema, basi tubaki kusema ndoa ni scam. Ridhika na maisha yako nafanya jitihada kufika mbali zaidi ya hapo, but there is never a shortcut in life. Everything has a cost and everypath has consequences.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mdomo wa mpumbavu hunena yaujazayo moyo!Una tako kwanza dada au unaongea tu .
Mawee!! kwa lipi!! haya manunge km weye!! ndo yanitese??? kuliondoa si ni dakika sifuri tu! na hkn wa kuhoji!Alafu Usikute wewe ndie unaeteseka na ndoa
Lool! acha uongo! kuangalia anaekula sana si uchoyo bali ni akili ya kisomi na ili kuongeza Bajeti ndani!! ndo kazi yako uwe na ufahamu wa watu wa ndani mwako!!Sio kurogwa wanaume hatunaga muda wa kuwaza nani anakula sana kuliko wenzie au anatumie umeme sana(uchoyo)tunatafta hela tunaleta home tu.
Lkn pia ! jishebedue tu! hapo nyuma ya key board, Kumbuka ni sisi hawa hawa! tume-kukunya kama jivi/kimba lisilo kuwa na thamani, ambalo tunge weza kuku-flash tu! dakika sifuri naOngea yote ropoka yote ila as a man nikikuigno huna jipya duniani.