Sasa what's the point of entering marriage kama unajua haujaridhika. Kila kitu huwa na kiasi, na unapoapa kuwa ndio nimeingia ndani ya ndoa basi iheshimu lasivyo itabaki kusemwa ndoa ni scam na wala sio ya muhimu. Pia mtaka yote kwa pupa hukosa yote, kama ulishindwa kupata true love huko nyuma nani kakwambia utaipata sasa isipokuwa kwa mume wako ukiacha wazazi pembeni.
Pia hao mabinti hawakufanya kitu chema bali wamejiwekea regrets huko mbeleni maana ndoa sio games bali majukumu ambayo huitaji kujitoa ili uyafanikishe. Watafanya upumbavu ambao huja kuharibu ndoa zao kwamikono yao kwakutumia hiyo reason yako ya "true love". Pia mwanaume au mwanamke anayepasha kiporo ni mpumbavu na anafanya uzinzi au uasherati, pia umeidhihaki agano la ndoa. Ndio maana nikasema, basi tubaki kusema ndoa ni scam. Ridhika na maisha yako nafanya jitihada kufika mbali zaidi ya hapo, but there is never a shortcut in life. Everything has a cost and everypath has consequences.
Sent using
Jamii Forums mobile app