Inakuwaje baadhi ya wanawake wapo tayari kumwacha mwanaume anayempenda kisa fedha baadaye anarudi na kutaka muwe wapenzi kisirisiri?

Ukiona hivo ujue nae alienda kutafuta pesa atumie na x-wake kama mume anavotafuta pesa atumie na mkewe . so akipata anakumbuka home
 
Hawajuagi wanataka nini, ukishakua sawa na hilo.....ishi nalo.
 
Ukiona hivo ujue nae alienda kutafuta pesa atumie na x-wake kama mume anavotafuta pesa atumie na mkewe . so akipata anakumbuka home
Kutafuta pesa kwa kutumia papuchi? Kweli umetisha dada yangu, una njia .mbadala ya kutafuta pesa.
 
mimi naona ni sahihi wafanye hvyo, hyo ni hulka ya wanyama wote, ata swala anatafuta swala dume mwenye pembe ndefu kwa future yake na watoto wake badae, simba jike anachagua madume kwa kuangalia madume mawil yakipambana anaeshinda anamzalia mtoto ili kuleta uzao bora badae, tuwaache wafanye hvyo kwa future ya kizazi kijacho , mwenye kisu kikal atakula nyama , hii pia uchochea hasira za kupambna na maisha ili uwin.
 
Kuna mengine pesa haiwezi kuyakamilisha kama hili la Kupenda, hili linatoka moyoni wala sio kwenye Wallet
 
She's got a broken grammar and she ain't even know it...... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Maybe your father. Anyways, you need help ma'am. You don't look okay.
 
Wanawake wanashangaza sana , haiyumkini kama Mungu atahesabu udhaifu wao wengi wataingia motoni maana they are
Killers
Unpredictable
Unstandable

Mmeachana kesho unasikia eti nipo tayari niwe mke wa pili , yaani amwache mme wake aje awe mke wako na tena maneno hayo unaweza kuyasikia kwa mwanamke tena uliyehisi ana msimamo sana kwa ndoa yake kabisa.


I have decided kumtafuta Mungu tu aisee nisijekosa vyote
 
Mbona kama Kuna vi facts fulani
 
hiyo ndio fursa adhimu kabisa ya kumtofoa Jicho huyo binti, mkuu mnakwama wapi? atatue rinda tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…