Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,252
- 18,335
Umasikini ndicho chanzo cha umalaya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuvumilia asiye na tako ni tabuu zaidi[emoji847]Na kumvumilia mwanamke ambaye hajui kupika ni tabu sanaaa
SawA mamaBaby Love! umesema kweli kabisa ya moyo! wala usitie chembe ya hofu Kwa hao wasema hovyo !! ke Wao ni walaini kimaumbile yao tangu Eden!
Baadhi ya midume inataka ke wawe ngangari km wao yaani me... hayo ni makosa ya kufikiri!! hasa kwa watoto wa Mama ambao humu ni wengi tu!!
kama hivi wkt Hawa anaongea na Shetani kwa maneno matamuuu pale Bustanini Adamu hakuwepo!..ina maana Adamu alikuwa Busy na maisha ya bustanini, aliachia upenyo wa shetani kupenya paleee!
hiyo ikamfanya Shetani kula tunda kirahisi tu!! mpaka Hawa akabeba ujauzito wa lile toto kubwa korofi lililo muua mwenzake yaani (Abel) Kimasihara tu!..
hayo Matoto korofi yapo mpaka humu JF leo!..so yakiropoka potezea tupe uhondo sie!
Unataka nkuuzie na ww[emoji4]Ww ni muuza mbususu tu unaejiheshimu[emoji16]
Rudia kuandikaUngekua wife material ungempatia condom na ushauri wakujilinda anapoenda Kugegeda, hakuna mwanaume anapesa mfukoni ana mwanamke mmoja , kwahiyo kisa yeye alichepuka ukaona wewe uuze mbususu Kwa vipande vya fedha?
Siyo tu kwa sababu ya pesa.Nilisha simuliwa story hizi nyingi za mwanamke kumwacha ampendaye kisa kampata mwengine mwenye hela.
Nina wanangu wa wawili wote mainjinia, mmoja nilijuana naye Mchikichini kwenye mapindi, mwengine tulijuana kwenye projects moja ambayo ilikuwa tempo ya kama mwaka mmoja.
Huyu mwana niliyejuana naye kwenye mapindi Mchikichini, yy demu wake alianza naye tolea Secondary, mwana yupo A-Level na dem O level (kampita madarasa matatu).
Bahati nzuri mwana alivyo maliza chuo akapata kazi na demu naye akaingia chuo UD,mwana alikuwa anamsapoti demu zile hela za matumizi chuo.
Hee kumbe kule alipokuwa akifanya field kwa miaka miwili, akaanza mahusiano na jamaa mwengine ambaye yupo vizuri kiuchumi.
Demu anamaliza chuo, akatafutiwa kazi na yule jamaa mwana hajui, sasa nakumbuka kama sikosei 2016 au 15 mwana akatuambia mimi mwaka huu nataka kuoa, tukamwambia poa oa tutakupiga tafu, baada miezi mitatu demu katolewa mahali na kapewa mkoko wa kumtembelea, mwana anaambiwa na yule demu alichoka baada kama miezi 5 demu akaolewa.
Daah mwana alipungua hana raha mwaka mzima siku zikaenda kama baada ya mwaka na nusu baada ya ndoa,yule demu karudi kwa mwana eti wawe wapenzi kisirisiri mme wake asijue, mwamba kampiga stop kwamba asimsumbue still demu mpaka sasa bado anamsumbua mwana na mwana hana time nae.
Huyu pili yy demu walikuwa wana miaka miwili, demu alimaliza chuo ila hakuwa na issue mwamba alikuwa anapata projects hizi za miezi sita,mitatu, mwaka.
Nakumbuka 2017 kuna project tulipiga wote by mwezi wa 10 ,projects ikaisha tukaambiwa kuna nyingine ina sites kama 1600,ila Bahati mbaya ile tenda hawa kuipata.
Nakumbuka sasa 2018,mwana akawa anapitia msoto yule demu 2018 kapata kazi akawa anamletea dharau mwana, akitoka ofisini anarudishwa na mkoko mpaka home, baadae akaamua kumchana waachane kwani kapata mwengine.
Daah mwana alichoka sana kwanza stress za kuwa hana kazi pili za kuachwa na demu
Mwamba nae 2019 February anapata kazi mshahara 2.3m,mwana kidogo sasa yupo vizuri.Baada ya miezi kama 5 ya mwana kuanza kazi ,demu anarudi naye anamwomba mwana wawe wapenzi kisirisiri, daah kwanza mwana alimtukana,akampiga biti hasithubutu kumtafuta wala kumtafuta kwenye simu kwani ana mahusiano mapya.
Na hawa mabinti wote waume zao ni wana hela ndefu, kuliko hawa mwanangu kwani yule kwanza anakunja 1.9m na wa pili 2.3m ila leo kesho wanawasumbua wana.
Sasa na jiuliza inakuwaje unamwacha mtu unayempenda kwa dhati kisa fedha then kesho unaomba urudiane nae hivi huwa mnafikiria nini.
Rahisi sana mkuu hata we ukitaka unaweza kua..... Tena we hauna ndevu mhhh mbona itakua pambeee[emoji275]Kuwa hoe ni rahisi sana.
[emoji39]Unataka nkuuzie na ww[emoji4]
Deal ni gani man?!......... Me naona we utulie tu nyumbani usubili bibi ako aje a feed hutotukalio twako[emoji41][emoji41]Buda umepanick sana, kuuza nyapu sio deal.
Wanawake Ni viumbe "compliketed" sana, na ndio maana Mtume Paulo alituusia sisi wanaume kwamba tuishi nao kwa AKILI.Nilisha simuliwa story hizi nyingi za mwanamke kumwacha ampendaye kisa kampata mwengine mwenye hela.
Nina wanangu wa wawili wote mainjinia, mmoja nilijuana naye Mchikichini kwenye mapindi, mwengine tulijuana kwenye projects moja ambayo ilikuwa tempo ya kama mwaka mmoja.
Huyu mwana niliyejuana naye kwenye mapindi Mchikichini, yy demu wake alianza naye tolea Secondary, mwana yupo A-Level na dem O level (kampita madarasa matatu).
Bahati nzuri mwana alivyo maliza chuo akapata kazi na demu naye akaingia chuo UD,mwana alikuwa anamsapoti demu zile hela za matumizi chuo.
Hee kumbe kule alipokuwa akifanya field kwa miaka miwili, akaanza mahusiano na jamaa mwengine ambaye yupo vizuri kiuchumi.
Demu anamaliza chuo, akatafutiwa kazi na yule jamaa mwana hajui, sasa nakumbuka kama sikosei 2016 au 15 mwana akatuambia mimi mwaka huu nataka kuoa, tukamwambia poa oa tutakupiga tafu, baada miezi mitatu demu katolewa mahali na kapewa mkoko wa kumtembelea, mwana anaambiwa na yule demu alichoka baada kama miezi 5 demu akaolewa.
Daah mwana alipungua hana raha mwaka mzima siku zikaenda kama baada ya mwaka na nusu baada ya ndoa,yule demu karudi kwa mwana eti wawe wapenzi kisirisiri mme wake asijue, mwamba kampiga stop kwamba asimsumbue still demu mpaka sasa bado anamsumbua mwana na mwana hana time nae.
Huyu pili yy demu walikuwa wana miaka miwili, demu alimaliza chuo ila hakuwa na issue mwamba alikuwa anapata projects hizi za miezi sita,mitatu, mwaka.
Nakumbuka 2017 kuna project tulipiga wote by mwezi wa 10 ,projects ikaisha tukaambiwa kuna nyingine ina sites kama 1600,ila Bahati mbaya ile tenda hawa kuipata.
Nakumbuka sasa 2018,mwana akawa anapitia msoto yule demu 2018 kapata kazi akawa anamletea dharau mwana, akitoka ofisini anarudishwa na mkoko mpaka home, baadae akaamua kumchana waachane kwani kapata mwengine.
Daah mwana alichoka sana kwanza stress za kuwa hana kazi pili za kuachwa na demu
Mwamba nae 2019 February anapata kazi mshahara 2.3m,mwana kidogo sasa yupo vizuri.Baada ya miezi kama 5 ya mwana kuanza kazi ,demu anarudi naye anamwomba mwana wawe wapenzi kisirisiri, daah kwanza mwana alimtukana,akampiga biti hasithubutu kumtafuta wala kumtafuta kwenye simu kwani ana mahusiano mapya.
Na hawa mabinti wote waume zao ni wana hela ndefu, kuliko hawa mwanangu kwani yule kwanza anakunja 1.9m na wa pili 2.3m ila leo kesho wanawasumbua wana.
Sasa na jiuliza inakuwaje unamwacha mtu unayempenda kwa dhati kisa fedha then kesho unaomba urudiane nae hivi huwa mnafikiria nini.
Unashindwa kutoka nae at out[emoji12]Kuvumilia asiye na tako ni tabuu zaidi[emoji847]
Kuna watu Wana bahatiNilisha simuliwa story hizi nyingi za mwanamke kumwacha ampendaye kisa kampata mwengine mwenye hela.

Na wenye roho hiyo tunaishia kuachwa vile vileKumvumilia mwanaume ambae hana pesa ni kazi sana..... Ni wanawake wachache wenye roho hiyo.....Kuna siku ntaleta story yangu hapa
Mkuu ilikua hivi..... Mim nliingia kweny mahusiano na mtu Hana pesa na me Sina.
Tukaweka mikakati ya kuzitafuta pesa kweli kila mtu anatoka kidg knachopatikana yanafanyika maendeleo.
Badae mambo yakawa SawA hapo sasa mwenzangu ndo akaanza marafik na kua mchepukaji mashuhuri.....
Badae nkasema hapana nkaondoka nkaanza maisha yangu upya taratibu..... Mwanzo nlipata magum man sikua hata na kijiko...... Badae mambo yakakaa SawA.... Sa hv anataka turudiane......
Kwa hyo sio tu wanaume wanapitia hayo mambo hata wanawake pia..... Nmesema kumvumilia mwanaume ambae hana pesa ni wanawake wachache wenye uwezo huo kwa sabb me nmepitia maisha hayo!
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Leta sahizi hapa, tamaa zinawaponzaga na hamuwagi na furaha huko muendako kama ambako mlipopakimbia. Ndio maana maombi ya kupasha viporo hayaishagiKumvumilia mwanaume ambae hana pesa ni kazi sana..... Ni wanawake wachache wenye roho hiyo.....Kuna siku ntaleta story yangu hapa
Daaah huyo demu kavu kishenzi.Kuna demu alikuwa anadate wanaume 2,mmoja Ana mpunga wa kueleweka mwingine naye kapuka.
Sasa demu alijichanganya akaukwaa ujauzito wa huyu Mwana kapuku.Akaamua kumbambikizia mimba huyu jamaa wa mpunga.Jamaa akalea mimba.
Miaka kadhaa ikapita shillingi ikageuka.Huyu jamaa aliyekuwa na pesa akasota na huyu aliyekuwa kapuku mwanzoni upepo ukamuelekea akawa tajiri.
Demu hakusita kugeuza meza,akaamua kurudisha mtoto kwa baba Yake halali Sasa.
Life likasonga.