kopites
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 9,229
- 11,531
Mimi ningekunyoosha wewe,ungelimia meno 😁Mawee!! kwa lipi!! haya manunge km weye!! ndo yanitese??? kuliondoa si ni dakika sifuri tu! na hkn wa kuhoji!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ningekunyoosha wewe,ungelimia meno 😁Mawee!! kwa lipi!! haya manunge km weye!! ndo yanitese??? kuliondoa si ni dakika sifuri tu! na hkn wa kuhoji!
Weeeee!! hee wadanganye ivo! ivo!! siku tukimgeuka huyooo unae mdanganya mtakoma! kwanza nyie janja yenu iko wapiiii!...mnavolala km wafu!! hata tukiamua kuzichapa hamtuwezi!usimwonee huruma mwanamke hata siku moja View attachment 2300630
me surual ndo zao!Mimi ningekunyoosha wewe,ungelimia meno 😁
Yaani kuonyesha kwamba weye ni mfu tayari Mwenzako aliye sema haya ni Mfu tayari! analimia meno yeye! na weye unarudia ya mfu mwenzio vilevile wala hujapindisha neno!! basi utamfuata huko makalimie meno vizuri!wewe,ungelimia meno
Povu la mini?Weeeee!! hee wadanganye ivo! ivo!! siku tukimgeuka huyooo unae mdanganya mtakoma! kwanza nyie janja yenu iko wapiiii!...mnavolala km wafu!! hata tukiamua kuzichapa hamtuwezi!
ila sema tu tunawapotezea!! nyie daima dumu ni watumwa wetu wa hiari...sasa mtumwa ana cha kusema?? mnajipendekeza eti kuoa!! na mipesa kibao mnalipia, halafu tunakuja mnatulisha bure!
mnatujengea then tunawafyekelea kwa mbali, Angalia mjumba woote ule wa Lushoto tena karibu kabisaaa na Nyumbani kwa Mama nani anishi mle ndani?? hapo Bado zanzibar!
Usipo muonea ke huruma ni mateso yako umeyataka nyau kabisa! usirudi humu
Ni dhahiriNilisha simuliwa story hizi nyingi za mwanamke kumwacha ampendaye kisa kampata mwengine mwenye hela.
Nina wanangu wa wawili wote mainjinia, mmoja nilijuana naye Mchikichini kwenye mapindi, mwengine tulijuana kwenye projects moja ambayo ilikuwa tempo ya kama mwaka mmoja.
Huyu mwana niliyejuana naye kwenye mapindi Mchikichini, yy demu wake alianza naye tolea Secondary, mwana yupo A-Level na dem O level (kampita madarasa matatu).
Bahati nzuri mwana alivyo maliza chuo akapata kazi na demu naye akaingia chuo UD,mwana alikuwa anamsapoti demu zile hela za matumizi chuo.
Hee kumbe kule alipokuwa akifanya field kwa miaka miwili, akaanza mahusiano na jamaa mwengine ambaye yupo vizuri kiuchumi.
Demu anamaliza chuo, akatafutiwa kazi na yule jamaa mwana hajui, sasa nakumbuka kama sikosei 2016 au 15 mwana akatuambia mimi mwaka huu nataka kuoa, tukamwambia poa oa tutakupiga tafu, baada miezi mitatu demu katolewa mahali na kapewa mkoko wa kumtembelea, mwana anaambiwa na yule demu alichoka baada kama miezi 5 demu akaolewa.
Daah mwana alipungua hana raha mwaka mzima siku zikaenda kama baada ya mwaka na nusu baada ya ndoa,yule demu karudi kwa mwana eti wawe wapenzi kisirisiri mme wake asijue, mwamba kampiga stop kwamba asimsumbue still demu mpaka sasa bado anamsumbua mwana na mwana hana time nae.
Huyu pili yy demu walikuwa wana miaka miwili, demu alimaliza chuo ila hakuwa na issue mwamba alikuwa anapata projects hizi za miezi sita,mitatu, mwaka.
Nakumbuka 2017 kuna project tulipiga wote by mwezi wa 10 ,projects ikaisha tukaambiwa kuna nyingine ina sites kama 1600,ila Bahati mbaya ile tenda hawa kuipata.
Nakumbuka sasa 2018,mwana akawa anapitia msoto yule demu 2018 kapata kazi akawa anamletea dharau mwana, akitoka ofisini anarudishwa na mkoko mpaka home, baadae akaamua kumchana waachane kwani kapata mwengine.
Daah mwana alichoka sana kwanza stress za kuwa hana kazi pili za kuachwa na demu
Mwamba nae 2019 February anapata kazi mshahara 2.3m,mwana kidogo sasa yupo vizuri.Baada ya miezi kama 5 ya mwana kuanza kazi ,demu anarudi naye anamwomba mwana wawe wapenzi kisirisiri, daah kwanza mwana alimtukana,akampiga biti hasithubutu kumtafuta wala kumtafuta kwenye simu kwani ana mahusiano mapya.
Na hawa mabinti wote waume zao ni wana hela ndefu, kuliko hawa mwanangu kwani yule kwanza anakunja 1.9m na wa pili 2.3m ila leo kesho wanawasumbua wana.
Sasa na jiuliza inakuwaje unamwacha mtu unayempenda kwa dhati kisa fedha then kesho unaomba urudiane nae hivi huwa mnafikiria nini.
Hapo hujaniona eti unasema povu!! ........ukiniona si ndo utazimia kabisa dogooo!Povu la mini?
Weeeee!! hee wadanganye ivo! ivo!! siku tukimgeuka huyooo unae mdanganya mtakoma! kwanza nyie janja yenu iko wapiiii!...mnavolala km wafu!! hata tukiamua kuzichapa hamtuwezi!
ila sema tu tunawapotezea!! nyie daima dumu ni watumwa wetu wa hiari...sasa mtumwa ana cha kusema?? mnajipendekeza eti kuoa!! na mipesa kibao mnalipia, halafu tunakuja mnatulisha bure!
mnatujengea then tunawafyekelea kwa mbali, Angalia mjumba woote ule wa Lushoto tena karibu kabisaaa na Nyumbani kwa Mama nani anishi mle ndani?? hapo Bado zanzibar!
Usipo muonea ke huruma ni mateso yako umeyataka nyau kabisa! usirudi hu
jaman we unaahitaji medical attention so go see a doctor na ukipona unahitaji elimu ya msingi ukishamaliza darasa la saba come back, atleast from there you can talk and write some sensible shit...before i know you i arleady know we are on different level...levelupWeeeee!! hee wadanganye ivo! ivo!! siku tukimgeuka huyooo unae mdanganya mtakoma! kwanza nyie janja yenu iko wapiiii!...mnavolala km wafu!! hata tukiamua kuzichapa hamtuwezi!
ila sema tu tunawapotezea!! nyie daima dumu ni watumwa wetu wa hiari...sasa mtumwa ana cha kusema?? mnajipendekeza eti kuoa!! na mipesa kibao mnalipia, halafu tunakuja mnatulisha bure!
mnatujengea then tunawafyekelea kwa mbali, Angalia mjumba woote ule wa Lushoto tena karibu kabisaaa na Nyumbani kwa Mama nani anishi mle ndani?? hapo Bado zanzibar!
Usipo muonea ke huruma ni mateso yako umeyataka nyau kabisa! usirudi humu
Unataka kuuza papuchi huna vigezo vyakufanya hyo biashara tako zuri na shepu bomba , unalialia nn?Mdomo wa mpumbavu hunena yaujazayo moyo!
Any fool can stand up! somewhere else in de podium ! en' speak loudly of whatever comes from his huge pipe! as much as his Big mouth can guide him! the same applies to u'jaman we unaahitaji medical attention so go see a doctor na ukipona unahitaji elimu ya msingi ukishamaliza darasa la saba come back, atleast from there you can talk and write some sensible shit...before i know you i arleady know we are on different level...levelup
Umekusudia kuropoka tu!!....hata neno vigezo hulijui!! na kula kamwe huli hata kam utalima saana utaliwa weye! kama umeona ni Biashara!! na unanionea wivu sababu nina pata hela.Unataka kuuza papuchi huna vigezo vyakufanya hyo biashara tako zuri na shepu bomba , unalialia nn?
MfundisheNa kumvumilia mwanamke ambaye hajui kupika ni tabu sanaaa
Usichukulie serious sana mambo ya mitandao wengne huku tunacoment tu kupoteza mda samahan sana kma nmekukwaza[emoji1666]Umekusudia kuropoka tu!!....hata neno vigezo hulijui!! na kula kamwe huli hata kam utalima saana utaliwa weye! kama umeona ni Biashara!! na unanionea wivu sababu nina pata hela.
si na wewe unalo tako?? hiyo ya nyuma?? sasa weye una mind tako langu??? waweza pumuliwa tu...na wako humu wanakusikia km vepe njoo nikuunganishe!..... au nakosea jamani!
Min me unanuionea wivu loool!! hupati hata pasu!
Go back to school, get a hobby or something , thats all i can say. All this crap your writing isn't worth it, where do you get it ?. Anyways , when i wrote whatever i wrote i wasn't coming for you personally, it was my opinion on the genpop of women, and put my mom out of this bs ....nothing personal maam, cut the crap and myob.. feel me ?.. Male creatures are dominant, look at all the super rich motherfuckers almost all of them are male..you guys untouchable and broke, hahaha you guys broke af....Anything big in this world is owned by alpha males...Any fool can stand up! somewhere else in de podium ! en' speak loudly of whatever comes from his huge pipe! as much as his Big mouth can guide him! the same applies to u'
let me tells you somethin' ''Women are superior type of creatures ever happened in dis' World whether you like it or not!! en. no body will take it away from us!! here we are! un touchable!!
ok! let me ask you what type of woman produced a kind of man with full verbal diarrhoea just like de way you are?? are you mentally un balanced? ...
go en' ask U'r Mom! who's she? in connection of who are we as woman!...hence forth u'll never come backhere with dis type of primitive nonsensicals u've just jotted here! trust me you're pure Illegitimate son of your! carin' Dad!
Huwa si-argue na mwanamkeGo back to school, get a hobby or something , thats all i can say. All this crap your writing isn't worth it, where do you get it ?. Anyways , when i wrote whatever i wrote i wasn't coming for you personally, it was my opinion on the genpop of women, and put my mom out of this bs ....nothing personal maam, cut the crap and myob.. feel me ?.. Male creatures are dominant, look at all the super rich motherfuckers almost all of them are male..you guys untouchable and broke, hahaha you guys broke af....Anything big in this world is owned by alpha males...
Okay...thanks manHuwa si-argue na mwanamke
Achana nae huyo
Dat' fucken, en primitive Bongos' school, ' will take me no where else! I don't even admire a single inch! to be like de way you are! !.... in addition to dat stop dat nonsensical mouth full of worms diarrhoea !!...Go back to school, get a hobby or something , thats all i can say. All this crap your writing isn't worth it, where do you get it ?. Anyways , when i wrote whatever i wrote i wasn't coming for you personally, it was my opinion on the genpop of women, and put my mom out of this bs ....nothing personal maam, cut the crap and myob.. feel me ?.. Male creatures are dominant, look at all the super rich motherfuckers almost all of them are male..you guys untouchable and broke, hahaha you guys broke af....Anything big in this world is owned by alpha males...
🤣🤣Loool!! jitu Baba zima ninalipikia, lina sonsomera matonge! nalibeba, nalilaza kitandani kama toto dogo, tena linanililia kifuani, bila kupigwa, ninalizalia photocopy vidume visivyo idadi!...eti linikimbie?? liende likazae huko tena??
Acha utani bana!! sie humu tuko serious!...yaani kabisa liondoke na suruali linachanganya vitako pasi.eti naondoka?Mawee Mkama wangeeee!! ofwire nyambara...... Kwanza ...
Hayo matoto yake yenye macho kodo alokojolea hapa, yaani tena bure bure tu!! atamuachia nani??thubutuu? akae atulize akili za kinyeo hapa, vinginevyo Ama zake! Ama zangu! ataitwa alikuwepoga!! favoritismyname!!
ataona Dunia inazunguka kinyume nyume!....athubutu aone!! hata kutania tu! haya madume tuna yazaa bure tu haya tulipi chochote kamwe hayana ujanja ...wengi humu ni ujanja nyuma ya key Board tu!!
Sasa hawa me! wenye kelele hawa! uwakute wakiwa kwa wake zao ni utacheka mpaka unye! yaani ni kimyaaaa!! utadhania siyo wao! kama mie muongo Mtizame DR VAMA akiwa na mke wake!!
Ukitaka Boss wako akupende wewe jitahidi tengeneza urafiki wa heshima na mkewe! ! ke akimtamkia tu mumewe huyu kijana hodari sana nampenda sana!! Basi Mwana niamini mimi kuwa umeula!
Ndo uone ke walivyo na nguvu!! Hayati J.K. Nyerere alipotaka kwenda soma Mwisenge! cha kwanza alichofanya alimwambia Mama yake mzazi kwanza, ili akamuombee Rhuksa kwa Mzee Burito Nyerere!!
Kilicho tokea kikawa kikubwa sana Africa na Duniani kwa ujumla wote humu mnajua. Nyerere ni Iconic figure ya Dunia, chanzo ni Mwanamke wa chief! Mama Mgaya!! Mungu amlaze mahali pema huyo Bibi !!
bila huyo Bibi kumuombea Rhuksa Mchonga kwenda kusoma S/Msingi Mwisenge!! leo hii nisingepata Elimu ya karibu na Bure! Nisinge ishi Biafra! nisingekuwa nyuma ya key Board!
huenda wakoloni wangekuwa bado wapo humu tunakula nao vihepe!...achana na kitu Ke!...akina Mama wenzangu Hongereeeni saaana!! Nyie/sie ndo tumeishika Dunia Pabaya tujitambue! tuwapeleke hawa kenge hawa!
Natoa wito kwa wa-Mama/wadada wooote humu JF! na woote kuwa usikubali kutumiwa km Ganda la muwa!! serikali ipo pamoja na sisi! Me hawana jeuri!! ya kututumia sie bali ni ujanja ujanja mwingi tu nyuma ya key Board!!
Lakini kiundani ni walaini mnooo!!! .....watumwa wetu wa hiari tu!! kwanza wanatutafuta tafuta kwa mbinde kama zoote!! tunawabariki wanapata hela/utajiri!! tukinuna ndani hawapatiga hela hao!! hawasemagi tu!
lkn kiundani wanjua hilooo! ..kwanza me ambae hajaoa utamuona tu mchafuuu! kikwapa!...hana mbususu pia kupata nikwa mbinde sana! lkn aliyeoa msafiii tena anapaka mafuta/perfume! Mbususu km zote zinamfuata!!