Inakuwaje bei ya mafuta Tanzania inakuwa ghali kuliko nchi ambazo zinapitisha bidhaa hiyo bandari ya Tanzania?

jitombashisho

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2020
Posts
667
Reaction score
2,245
Ni aibu kama nchi!

Wilayani Ngara mkoa wa Kagera lita ya petroli inauzwa Tsh. 2630 wakati huo huo upande wa Rwanda Wilaya ya Kirehe ambapo hazizidi kilomita 40 ufike petroli lita ni Tsh. 2000.

Kazi kwenu wadau na tumpongeze mama kwa kuupiga mwingi.
-
 
Nchi IPO chini ya mzanzibari hii tusitegemee uongozi Bora hata siku moja.
JK ndiye raisi WA nchi hii huyu mama ni kama remote control
Wazanzibari na watu wa pwani ni rojorojo sana.

Sasa magenge ya wauza mafuta wameshakamata nchi wanajiamilia wanavyotaka.

Usikae ukategemea bei ya mafuta itakuja kushuka hii nchi tena.

Leo watu kama Manji wanazurula uraiani huku ana kesi lukuki za kukwepa kodi, kuzurumu taasisi za umma zilizompa pesa azipatie huduma akatokomea na pesa na ushahidi upo lakini anadunda mtaani. TRA kila siku anawawekea court injunction kwa kodi wanazomdai halipi. Halafu anaitwa muwekezaji.
 
This is not fair, na hapo petrol yao iyo wanaitoa hapa Dar.

Ni shame kwa anayoyafanya samia, kwan huu ni uhuni na huu uhuni tnaofanyiwa anaujua na anaufumbia macho may be kwa kuwa anabenefit nao.

CCM walaaniwe milele
 
Mafuta mapaka yanafika bandarini Tanzania bei na wastani wa TZS 1,162.00 Kodi inachukua sehemu kubwa mapaka kuyafikisha shs.2,275.00 baada ya hapo ni usafirishaji na faida za wauzaji. So tatizo ni serekali yetu haiwezekani kodi na tozo ziwe karibu 100% ya bei ya CIF.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…