Inakuwaje bei ya mafuta Tanzania inakuwa ghali kuliko nchi ambazo zinapitisha bidhaa hiyo bandari ya Tanzania?

Ni aibu kama nchi!

Wilayani Ngara mkoa wa Kagera lita ya petroli inauzwa Tsh. 2630 wakati huo huo upande wa Rwanda Wilaya ya Kirehe ambapo hazizidi kilomita 40 ufike petroli lita ni Tsh. 2000.

Kazi kwenu wadau na tumpongeze mama kwa kuupiga mwingi

 
Na wale jamaa wanamapungufu ya akili ktk kasehemu la kichogo hence zao zinapotelea apo
Nchi IPO chini ya mzanzibari hii tusitegemee uongozi Bora hata siku moja.

JK ndiye raisi WA nchi hii huyu mama ni kama remote control
 
Ni aibu kama nchi!

Wilayani Ngara mkoa wa Kagera lita ya petroli inauzwa Tsh. 2630 wakati huo huo upande wa Rwanda Wilaya ya Kirehe ambapo hazizidi kilomita 40 ufike petroli lita ni Tsh. 2000.

Kazi kwenu wadau na tumpongeze mama kwa kuupiga mwingi
Mama samia kwa swala la tozo za line za simu , swala la TANESCO,na swala la mafuta wajanja wamesha mzid nguvu mwache ademke nao wenzie wamnyooshe maana hajajua wenzie wanakusanya nguvu za kumtoa hapo kwenye kiti wawekane wenyewe.
 
Na kungekuwa na ubunifu nchi ingekuwa mbali sana hii
 
Hivi lile ongezeko la tozo kwenye mafuta alilopendekeza Mwigulu litaanza lini? Maana hapo usishangae mwaka wa budget umeanza jana next week Jumatano EWURA wakitoa bei elekezi unashangaa petrol inapaa mpaka 3000 huko.

Itabidi tupark baby walker zetu tuanze kupanda toyo.
 
Hapo zambia tu ni buku mia saba lita 1740 ila sijui sisi tumelogwa na nani.Tunapiga kodi mpaka aibu maana mafuta ni bidhaa muhimu sana .Hata kama tunataka maendeleo tuende taratibu maana hatuwezi ijenga Tanzania kwa siku kuna vizazi vinakuja nao watajenga .Inafika mahali unaona kama tunakomoana ww uagize gari hiyo kodi mpaka inataka kuzidi bei ya gari sasa huu si uchizi.

Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
 
Soko huria, wanaoweza nunueni petroli kutoka Rwanda, wachuuzi wa Ngara watajibeba!
TRA Rusumo lazima wachukue Kodi zao stahiki ndio uyapeleke Ngara
Kwahiyo uyanunue kwa Faranga 2000 na Kodi Stahiki ukifika Ngara unajikuta yale ya Mwigulu ni rahisi
 
Ingia Rwanda kunywa mafuta Rudi. Mbona wakenya walipandisha mafuta kabla ya tz kulipa Deni lao. Boda ya sirari ya Kenya pale vijana wanavuka wanakunywa mafuta boda ya sirari ya Tanzania wanarudi Kama kawaida kwao Kenya kupiga kazi. Ndo faida ya watu wa mpakani ama ulijua ni kutafuna wanyarwanda
 
Vituo vya mafuta viko Nyakarambi inakubidi ulipe Road toll
 
Hivi hizi kodi zote kwenye mafuta lengo lao nini hasa kama sio kuumiza wananchi tu
 
Ni aibu kama nchi!

Wilayani Ngara mkoa wa Kagera lita ya petroli inauzwa Tsh. 2630 wakati huo huo upande wa Rwanda Wilaya ya Kirehe ambapo hazizidi kilomita 40 ufike petroli lita ni Tsh. 2000.

Kazi kwenu wadau na tumpongeze mama kwa kuupiga mwingi
Hivi kwenda Rwanda kunahitaji pasport?kwanini ngara wasinunue mafuta Rwanda mpaka wasubiri haya yanayotoka Dar? Hapa inamaanisha ushuru wa mafuta hapa bongo umepanda ,bei ya soko la dunia bado liko palepale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…